GHETTO LA KUSHEA – “DEAR EX” | EPISODE 05 Musa anajaribu kumkwepa Sasha, ex wake, anayefika nyumbani kwa Nuru bila yeye kujua. Musa anajikuta akifanya kila aina ya ujanja ili asionekane, huku Nuru akilazimika kumsaidia kuficha siri yake. 😂 Mambo yanazidi kuwa magumu pale Nuru anapogundua kuwa Sasha atakaa hapo wiki mbili, na Musa anafichua sababu kubwa ya kumuogopa: anamdai milioni mbili! 😂🔥 Usikose episode inayofuata🔥 🎬 A HOMES FILM Production ✍🏾 Written by Nyaki © 2026 HOMES FILM
ADVERTISEMENT
Mambo vipi? Karibu kwenye Familia ya "GETO LA KUSHEA" Na Hii ni Sehemu ya Tano ya Vicheko..... Unaweza KuSaidia, KuChangia uzalishaji wa episodes zijazo, unaweza kutuchangia kwa hiari kupitia namba: +255766007748 Mkasa Richard Mkwaruzo Kila mchango, mkubwa au mdogo, unasaidia kuendelea kutengeneza story hizi.🙏 Asante kwa ku-support kazi yetu.
Wanayoikubali hii series like hapa 😂😂😂🎉🎉🎉
Nipeni ata like 3 jaman
Like zangu jamani😊
Mapema sana like zitembee ndugu
🙏🏾 SHUKRANI ZA PEKEE Kwa wote mliochangia kwenye Episode Hii. ❤️ 1. HERI AHADI 2. DICKSON MZEVA 3. NEEMA BRYSON 4. CRAYTON SHAYO Asanteni kwa support yenu! ❤️🎬
bora niache zotee ila hii ya chard siiachi🔥🔥
😢 kiongoz jitahid kutuwaishia kaz
Hii series kali sana kwa sabab kila siku inakuja na tukio jipya huwez kukadiria na kuotea kitu kinachokuja🫡🫡🫡🫡
mjitahidi kuongeza dakika
Sema kazi inachelewa sana Chard ila ni 10/10 ❤❤
Toa mapema bro hii movie na ongeza dakika
Wakwanz leo move kal san iih
Samahani Mashabiki ❤️ Tunaomba radhi kwa kuchelewesha Episode 06. Kwa sababu zilizo nje ya uwezo wetu.. 🙏🏽❤️ Tunajua mmekuwa mkiisubiri kwa hamu. Lakini sasa tupo tayari! 🔥 Episode 06 itatoka kesho, Alhamisi tarehe 27 Agosti, saa 6:00 mchana. 🎬🔥 Asanteni sana kwa uvumilivu na support yenu. ❤️ Pole kwa Kusubiri, Endelea kufuatilia “GETO LA KUSHEA” Zetu🙏
The first one
Me ndio wa ngap leo
Nakubali sana kaka 🤝🤝🤝
Wakwanza leo😂
Hellow
Inatoka lini ep 6 mkuuu