NILIKOPA NA KUWEKA NYUMBA YANGU REHANI KISA UKUMBI WA MAOMBI - MUUMINI
ADVERTISEMENT
Comments 92
johnaura45:
Dini yenu huwa imekaa kitapeli sana na huwa waumini wake wa…
More Like This
23:02
Savage Episode 84
Comedy
2.0k
100
0:35
Top 5 Hilarious Teachers Ting Aling Aling Challenge Moments (Teachers Vibes On Top!) 😂🎵
Comedy
8.4k
34
0:45
Dont Subscribe! Too Funny! When theres hair in your food
Comedy
4.3k
0
0:20
Dei!.. Adikamaye Vilaraye Da! 🤣 – KS Ravikumar on Raghuvaran’s Funny Dialogue in Puriyada Pudir
Comedy
39.3k
23
2:02:05
ONE GIRL THREE BOYS - CLINTON JOSHUA, ANNABEL APARA, KENZY EZIKE, CHIDI DIKE 2026 NIGERIAN MOVIES
Comedy
2.2k
0
1:01
Two siblings dealt with their stepmother part 1 #youtubeshorts #funny #funniestvideo #skits
Comedy
35.0k
100
30:09
Eiiii AKABENEZER TIKTOK CHALLENGE TURNS TROUBLE 😂😂😂😂😂
Comedy
949
57
3:00
Nosarex the Celebrity Chef Chef but ghola is medicinal sha 😂🤣
Comedy
8.6k
0
You've reached the end
Dini yenu huwa imekaa kitapeli sana na huwa waumini wake washamba na wamepumbazwa akili na hiyo dini amkeni mko nyuma sana yani lakini poleni😭
😂😂😂 vitu vingine kama vinafurahisha sasa unaweka nyumba yako rehani kwaajili ya jumuiaya ya wengi duuh
Hacheni kumdhalilisha Mungu nyie
Chokeni na kudanganywa ndugu zangu...
Kwani si muende mahakamani
Sio mungu awasaidie ni samia tena😅😊
Safi sana, mnajifanya mnazijua dini. Ngoja awakomeshe
Dunia haina wema,,mtegemee Yesu pekee
Hatuwezi pata katiba mpya hivi
Eti tusaidie SAMIA .😂😂😂😂
Mambo ya dini jau hayaa mnaambiwaga kila sku mnapumbazwa tuh
Sasa hapo anaongea au ananena kwa lugha 😂😂😂
UJINGA na UPUMBAVU ni mzigo Mkubwa sana kwa jamii zetu. Hapo Mungu Muumba Wetu hahusiki, bali hapakuwa na makubaliano thabiti tangia mwanzo. Kwa ufupi imekula kwenu, hongereni kwa kumchangia bwana mgeni.
Analia au actor mana analia na kavaa mike kabisa😂😂😂😂😂😂
Amen amen amen
Mnayo hati ya Serkali ya upimaji wa ardhi? Mnakibali cha ujenzi?
Mungu awasaidie au mama Samia awasaidia......?
Mungu awatetee
Wewe na mmeo pumbavu sana
Ila jamani Mama mnamuandama na matatizo yenu,