Je, unafikiri Kajala alifanya maamuzi sahihi au ni bora angekubali ndoa? Usikose kutazama #MMBAlist kila Ijumaa saa 2:00 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo Ch160 — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ
ADVERTISEMENT
Roho imeniuma sana kuona kajala analia,mdada mpole sana❤
Nampenda sana Anti anaongea kwa kujiamini❤
Kajala ujuwee watu wengi tunakupe sana❤❤😢😢
Kajala kweli anampenda harmonize na nimpole dada wawatu sana
Kajala mimi nakupenda sometimes unaeza penda mtu na moyo wake wote lakini if a man is not willing to change atabaki kukuumiza this is sad the fact that he keeps asking for forgiveness your in my prayers 🙏 I feel so sad jameni usilie😢😢jameni.
Omba Mungu akupe saiz ako uyo ata akikuoa ndo atakusumbua zaidi afu utajutia ndoa
Olewa dada K hujui lamda ndio lizk yako mungu alio kujalia😢😢😢
Kajala mungu akujalie sana I love you
Nimeamini kuwa kweli Kajala anampenda Harmonize ❤
Konde anazingua sana anampiga matukio dada wa watu
Kajala atalia mpaka lini jmn😢😢
Kwenye❤ndoaa❤chakwanza❤ni❤mapenzii
Nakupenda sana kajala mamangu ❤❤❤😢😊
Apo dada Kajala Mtafute Zuchu zuhula Akushauri namna wanavyo vumiliaga maana yeye pekee ndo mwenye funguo hio😢
Ww konde boy usitulizie kajala wetu🥲❤
Kajala ni mtu mzima sana anachopenda ni pesa ya Harmonise maana kaka sio bahili.Mama utahangaishwaje hivyo kama sio pesa.Ndo hupangwa na Mungu sio binadamu.
Usilie dada Mwenyezi Mungu akupe neema ya kufuka hapo ulipo ❤
Mtu ❤akupende❤otomatikali❤❤❤ilii❤upete❤utulivuu❤yani❤maishaaa
Uso wakajala mzuri kuliko wote wengi ne wote mnaonekaka wazeee
Kajala wangu nakupenda mama❤ila hamo anakupenda japo ujana unamsumbua vumilia kipenzi munvumilivu hula mbivu nawapenda sana❤❤❤