Yanga SC imeishusia kichapo kizito JKT Tanzania cha mabao 4-0 katika muendelezo wa ligi kuu ya NBC, mechi ikipigwa KMC Complex, Dar es Salaam. Waliotikisa nyavu ni Albert Kangwanda, Ibrahim Bacca, Chadrack Boka na Peter Shalulile.
Sign in to join the conversation
Yanga bingwa
Oya hiii yanga tunaenda kuandika history tena Ligi kuuu Club bingwa Crdb Nk😂😂😂😂
Kama umeangaria mpira af umekuja tena utube like hapa😂
Wakwanza Leo naomben like kama unamkubari zagwanda😂
Zingatia hili, Unaweza kuona JKT inachekesha kama sio timu yako 🤣🤣🤣🤣
GSM anunui Tena mechi😅😅😅
Huyu Yao mbona kama anahisa Yanga 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Mwakani tena baba
𝐍𝐲𝐞𝐫𝐞𝐫𝐞 𝐰𝐚𝐤𝐮𝐜𝐡𝐚𝐣𝐢 𝐤𝐚𝐠𝐚𝐧𝐝𝐚𝐚🤣🤣🤣
Wakwanza mungu wapili wazazi Anafata mchumba wangu wanne yanga yanga yangaaa😂😂😂💛💚💛💚
HILI BOKA NA YAOYAO NI NOMA SANA.💚💛💚💛
Jaman hii timu ni mfano wa kuigwa nbc 2026l2027
Timu kubwa haitumii Fvs mara kwa mara , jkt wenyew hawaamin macho yaooo😅😅😅
😂😂 ety Nyerere wa kuchaji
Kangwandaaaaaaaaaaaaaa❤
Yanga bingwaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
PSG ya Africa
Yanga sihami
Zokwani😅😅
Mashaallah hii timu yangu km mzinga wa Nyuki asant Allah awazidishie Kheir na mafanikio Inshaallah