Ushawahi kulia kwasababu ya mapenzi? Usikose kutazama #MMBAlist kila Ijumaa saa 2:00 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo Ch160 — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ
ADVERTISEMENT
Uko sahihi K, najikuta nakuonea huruma sana,pole kipenzi!!!!
Pole kubali kuolewa talaka kama ipo ipo tuu utaomba na mambo mengine yaendelee
Kajala nakupenda Mimi mwee mdada mzuri hupokei huboi
Kajala unajua nimeanza kukuelewa ,yaani watu wasipende ku judge jamani tumpe mtu nafasi na kumsikiliza hakuna mtu mbaya hii dunia , sending more love your way K❤❤❤
Hebu msamehe muendeleze maisha yenu,mambo ya Kila siku kuanza upya sio😮 mazuri
Umependeza kajala ww ni mlembo
You are absolutely right ( kajala)
Duu mama yangu ww nakupenda sana ❤❤❤❤
Hamna❤palepale❤anataka❤akuoee❤ndoa❤nimume❤❤❤
embu uwoya Dogo Njanja yuko wapi kwanza😊😊😊
Kajala hamo anakupenda naweye unampenda lazima ibilisi angilie kati sote ndo ivo kipenzi nawapenda sana mkiwa pamoja❤❤
Meckeup shikamoo
Kajala macho yanaonyesha analia sana kila siku amefura chini ya macho hio dalili ya kulia sana 😢😢
KIPINDI CHA KUMA KUMA WOTE NI VINUKA UCHI
Hamo hampendi Kajala hivi mtu uvalishwe pete kisha akimbie bado hustuki?
Is not your type Acha Amini hili unamsogeza Tu kwenye mipango. Yke then HUTAAMIN UMERUDI RUDI SANA ACHA ITOSHE SASA MBAKI KUHESHIMIANA KWANZA UTAKUWA UMEMHESHISHA MWANAO NA KWEO MAAMUZI NI YKO BBY
Jamani kajala mpaka huruma alivo mpole masikini. Anashindwa kujitetea pole sana mama 😢😢
Subra ndio kila kitu dadangu kajala Subiri na Mungu atakufungulia njia hakuna lisilo wezekana mbele ya Mungu
Mbona mmemsakama kajala jmn😂😂😂
Hyo miwani ya iren 😂😂