Simba walikuwa wanabebwa tangu nyuma maana wanatafutiwa ubingwa ila sasa wamekutana nayo FVS haitaki mchezo
J
jacquelinesanchez8702 weeks, 3 days ago
Hawa ndio waliokuwa wanalialia sana kuhusu maamuzi. Na ndio waliosababisha FVS hii iletwe. Na imeanza kuwanyoosha rula
B
brunamacedo6332 weeks, 4 days ago
Ndio kwajili ya fvs lengo kutukomesha
annshah4552 weeks, 3 days ago
Ndio
L
lorraine_powell2 weeks, 4 days ago
Ndo wanaocheza vibaya
J
joshuaplume842 weeks, 4 days ago
Oscar anahoja nzuri sanaa kiujumla ni ivi sio kama simba awalalamiki acha malefa wafanye wanavyo taka Ata tukilalamika akuna atutopata msaada kikubwa mpila ni mchezo wawazi kila mtu anaona waache wafanye wanavyo taka
A
andrea_hodges2 weeks, 4 days ago
Ndio wanaocheza rafu au hujui
O
océane.blin2 weeks, 4 days ago
FVS ni sawa na magoli yaliyopo kwenye kila uwanja na kila mchezaji mwenye uwezo wa kufunga goli anafanya hivyo bila kipingamizi ili mradi asivunje sheria.Kwani Chama alipofunga goli bora mbona hamkusema magoli ya uwanja ule yamewekwa kwa ajili ya Simba Kufunga goli bora,? FVS ni kwa kila timu ila inategemea wewe unataka nini kati ya kadi nyekundi au ushindi.
franz-xaver_scheel2 weeks, 4 days ago
😂😂😂😂😂
S
steven.leon2 weeks, 4 days ago
Simba kulalamika siyo shida zao hao kazi yako kucheza mpira tu,sasa ingekuwa wengine hapo wangesema Bodi ya ligi ivunjwe, viongozi Tff wajiuzuru
M
marguerite_robin2 weeks, 3 days ago
Kwani anayedai FVS iangaliwe ni timu au marefalii. sasa kama timu zingine hazilalamiki we unataka refalii awe anaenda kuangalia hata kama hakuna tukio lililolalamikiwa? utagundua swali hilo ni la kijinga.
C
cynthia_garcia2 weeks, 4 days ago
😂😂😂😂😂😂
L
luce.antoine2 weeks, 3 days ago
Simba ni timu kubwa hatuwez kulalamika kwakuwa tunakikosi kipana na tunanyamaza mpaka tuone mwisho wake
ULITAKA WAMULALAMIKIEE NANI AISE WAKATI IMELETWA KWA AJILI YA SIMBA KAKA BACC KAPIGA MCHEZAJI TEKE HAJAPEWA KADI
Acha waumbuke maana walikuwa wanalaumu marefa zamani wakati haohao marefa ndo walikuwa wanawapendelea
😂
Îmèletwa kwa ajili yà simbà as simbà wanapewa Adi penalti zà bure 😂😂
Mnajaribu kuzua taharuki?
Nyie ndo wachochezi sasa unataka ucheze rafu alafu uachwe nyie vp aise