🔥 Karibu kwenye SAUTI YA MICHEZO TV 🔥 Hapa tunakuletea HABARI MOTO ZA MICHEZO, UCHAMBUZI WA KINA, MATOKEO YA MECHI, USAJILI MPYA, PAMOJA NA MATUKIO MAKUBWA YA SOKA TANZANIA NA DUNIANI. 📌 Tunazungumzia: Habari za Ligi Kuu Tanzania (NBC Premier League) Simba SC, Yanga SC, Azam FC na timu nyingine Usajili wa wachezaji na tetesi za usajili Ligi za Ulaya (EPL, La Liga, Serie A, Bundesliga na Ligue 1) UEFA Champions League na CAF Champions League Matokeo ya mechi na ratiba Uchambuzi wa mechi na takwimu za wachezaji Breaking News za michezo Tanzania na duniani 🎥 Video zetu zinakuja kwa mtindo wa:UCHAMBUZI • HABARI ZA HARAKA • MATOKEO • USAJILI • HOJA NZITO ZA MICHEZO 👉 SUBSCRIBE sasa👉 LIKE 👍👉 COMMENT 💬👉 SHARE 🔁 🔔 Usikose habari muhimu za michezo kila siku kupitia SAUTI YA MICHEZO TV ⚽🌍 #NBCPremierLeague #LigiKuu #LigiKuuTanzania #TanzaniaFootball #SokaTanzania #Mpira #BongoSports #Football #FootballNews #MatchDay #simbanguvumoja #daimambelenyumamwiko
ADVERTISEMENT
Yanga bingwaaaaa
Hii Team changamoto ya Afya ya Akili ni tatizo kubwa sana
Simba wahuniiiii
Kwani masikio unapelekanga wapi😂😂😂?
Mandara,, bado hujasema
Madala aujuwi mpia wew
Mandala unaumia ukiwa wapi
Mandala nina shaka naww
Huyu Mandala wakimuwahi atapona nadhani Yanga msimu huu itamfanya aumwe sana msimu huu
Hujitambuwi yanga amecheza lafu gan.kama unakili mechi za yanga wapzan wanaikamiya yanga mfano leo jkt wamecheza lafu mpaka kefa akaacha kutowa kad kwa jkt
NYOTE HAMJASEMA MUTASEMA SANA
Mwambie Karia wenu aiondoshe
Huyu ndala huyu hovyooo!!! Ndicho kinachowashinda simba huko...
Mandala wacha kupiga kelele
Ss hujui km sheria inakataa mchezaji kumfata refa kwa fvs ata hufatilii tena leo tukio gani la wsws leo
Nyie mavi tuu
Mandala Kuwa na akili hata ya kushikiwa
Mandala acha ujinga Simba mmezidi rough sana Msimu uliopita wachezaji wenu waliumiza sana wachezaji wa timu pinzani Kumbuka mchezaji wa Simba kamkalisha Dickson Job msimu mzima ona haya Mandala na siyo huyo tuu
WW shabiki unaihalivu timu yako ongerea mpira
Mandala huna akili hujielewi