Jamani DUNIA inaondolewa tena youtube -> wanaosema dunia bye bye kama mimi like apa
M
marguerite_robin2 weeks, 2 days ago
Tunao amini MUNGU ndie kimbilio letu tujuane hapa 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
A
agathe_prévost2 weeks, 2 days ago
Happy maulid day everyone❤❤❤
G
gabriela.miranda2 weeks, 2 days ago
Ndo naanza kuelewa title BEHIND THE SMILE. huyu baba ake na Adrian ni mtu mzuri kwa nnje ila kumbe anatisha kwa ndani haya tuone Siri ya Hilo tabasamu lake la bandia. Gonga like kama hukutegemea baba ake na Adrian kama ni mtu mbaya 😢
V
victoria_elliott2 weeks, 2 days ago
Kumbe na baba win it jangir mlioshangaa kama mm gonga like hapa🥱🥱🥱
A
amanda.knight2 weeks, 2 days ago
Wanaoamini kwamba Sandra hatadhurika kujeni hapa
keith.mitchell2 weeks, 2 days ago
Wangap wamehuzunika kusikia baba ake Sandra katolewa Figo. Like ❤❤❤ hapa🥺🥺🥺
M
martinemarion4312 weeks, 2 days ago
Tunao shangazwa na tabia ya Baba Adrian tia like hapa😢😢😢😢😮
R
rebecca_anderson2 weeks, 2 days ago
Suzi kaniliza hakika mama ni mama TU. Mungu amlaze mahali pema mama yang kpnz inshallah 🙏😢😢
V
victoire.lucas2 weeks, 2 days ago
Wakristo bwana yesu asifiwe. Waislam assalam alaykum.
A
aprilclark9602 weeks, 2 days ago
Kama umelia na Suzy weka like hpa kutoka Mozambique 🇲🇿🇲🇿
L
lilia_medrano2 weeks, 2 days ago
Wanaoangalia saa7 mchana wapii like zenuu 😅😅🎉
S
saanvi.sha2 weeks, 2 days ago
Kuna mtu yupo hapa anapitia magumu mpaka amekataa tamaa Amini Mungu yupo pamoja na wew na anao mpango mzuri kwaajili yako❤❤🎉
B
beth_burton2 weeks, 2 days ago
Kulala na kuamka ni neema Kila mwenye pumzi naamsifu BWANA WAPENDWA 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
A
angela_rodriguez2 weeks, 2 days ago
Simjui mama yako ila namuombea Aishi maisha marefu 🎉🎉🎉
D
diane_thompson2 weeks, 2 days ago
Kama umekuja kundua ya kwamba LIO ni wa ule mzee mwenye walikutana logge, nipe like?
A
andrew_aguilar2 weeks, 2 days ago
Leo na mimi nime wahi jaman team Sandra wapi like❤❤🎉🎉
M
matthewjimenez8022 weeks, 2 days ago
Asante nipo mbele ya mda😂😂 mambo fire leo wakwanza naomben wadau like
M
martin_hayes2 weeks, 2 days ago
Munawo soma Comment hii mungu awabari afya njema, pesa, na maisha marefu Amém
Jamani DUNIA inaondolewa tena youtube -> wanaosema dunia bye bye kama mimi like apa
Tunao amini MUNGU ndie kimbilio letu tujuane hapa 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Happy maulid day everyone❤❤❤
Ndo naanza kuelewa title BEHIND THE SMILE. huyu baba ake na Adrian ni mtu mzuri kwa nnje ila kumbe anatisha kwa ndani haya tuone Siri ya Hilo tabasamu lake la bandia. Gonga like kama hukutegemea baba ake na Adrian kama ni mtu mbaya 😢
Kumbe na baba win it jangir mlioshangaa kama mm gonga like hapa🥱🥱🥱
Wanaoamini kwamba Sandra hatadhurika kujeni hapa
Wangap wamehuzunika kusikia baba ake Sandra katolewa Figo. Like ❤❤❤ hapa🥺🥺🥺
Tunao shangazwa na tabia ya Baba Adrian tia like hapa😢😢😢😢😮
Suzi kaniliza hakika mama ni mama TU. Mungu amlaze mahali pema mama yang kpnz inshallah 🙏😢😢
Wakristo bwana yesu asifiwe. Waislam assalam alaykum.
Kama umelia na Suzy weka like hpa kutoka Mozambique 🇲🇿🇲🇿
Wanaoangalia saa7 mchana wapii like zenuu 😅😅🎉
Kuna mtu yupo hapa anapitia magumu mpaka amekataa tamaa Amini Mungu yupo pamoja na wew na anao mpango mzuri kwaajili yako❤❤🎉
Kulala na kuamka ni neema Kila mwenye pumzi naamsifu BWANA WAPENDWA 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Simjui mama yako ila namuombea Aishi maisha marefu 🎉🎉🎉
Kama umekuja kundua ya kwamba LIO ni wa ule mzee mwenye walikutana logge, nipe like?
Leo na mimi nime wahi jaman team Sandra wapi like❤❤🎉🎉
Asante nipo mbele ya mda😂😂 mambo fire leo wakwanza naomben wadau like
Munawo soma Comment hii mungu awabari afya njema, pesa, na maisha marefu Amém
Happy maulidi day