FINAL ‼️TFF WAMALIZA UTATA SAKATA LA SELE MWALIMU | SIMBA WAFANYA UMAFIA NGOMA NGUMU UBAYA UBWELA
https://whatsapp.com/channel/0029VbDRUMc42Dcjb3uk800A
ADVERTISEMENT
Comments 43
enzogabriel_pacheco:
Wewe mwenyewe huna unachokielewa heris yupo Kwa ajiri ya ku…
More Like This
2:19
SELEMANI MWALIMU AMJIBU CHAMA/ SIJAWAHI KUPATA FURAHA SIMBA
Sports
109
0
22:01
🚨KISUGU,ALIPUKA MASHABIKI WA YANGA KUWAPOKEA MIGHT WANDERERS
Sports
91
32
24:09
EVERY Champions League Goal From Matchday 1 | Highlights
Sports
5.0k
0
1:10
Highlights: Liverpool 2-1 Atletico Madrid | Szoboszlai & Mac Allister Goals in Champions League!
Sports
5.8k
0
47:58
Manchester United 4-0 Sabah FC | Four & Easy For The Reds On UCL Return | Zayden's Match Day Vlog
Sports
1.1k
0
0:14
Lowk the top 5 tuffest moments 😭🙏
Sports
91.4k
100
3:23
Coco Gauff vs. Elena Rybakina Highlights | 2026 US Open Semifinal
Sports
6.6k
100
1:59:13
LIVE: DHL Stormers v Vodacom Bulls pre-season practice match
Sports
645
0
You've reached the end
Wewe mwenyewe huna unachokielewa heris yupo Kwa ajiri ya kuwafurahisha washabiki wa yanga pia heris hapingi timu je waliosajiliwa wote msimu huu wameanza kucheza
Kumbe unatumia kwamba pesa tunazipataje!! Nenda GSM akuajiri
Kocha Yuko sahihi, habari za kupakana mafuta kwa kutumia mgongo wa chupa ni ujinga.Ukicheza hivyo ni vema uambiwe ili ukazane mazoezini na uwanjani
Sasa hata waajili wako wanakuona fala umeulizwa nini acha usengeeee
Acha siasa ww unajifanya.unajua lakin ujui chochote ulitaka aulizwe kwann hachezi
kwani selemani mpaka acheze - ???????
Hajui kuwa Kuna watu wanafuatikia kipindi chake ila wanaumia kutumia MB zao kumsikiliza yeye dheni anaongea mambo ya hovyo
We sijui Mfaume umeingia fani ambayo ina tofauti na kichwa chako. Umeukizwa Selemani Mwalimu ukaanza kujibu Chuga. Wewe hujui fani ya coaching na style of management are variable. Huwezi kujaji alichokisema kocha kwa mchezaji wake Chuga lkn hamkusema alipomsifia Casamiro. Hujajibu lolote kuhusu Selemani.
Haikuhusu hizo sio shida zetu ht tukilipia hatuumizwi na hilo
Towa psa upate pesa waachie wenyetimu haya kuhusu.
Aongelee dressing room wakati mpira ulichezwa hadharani? Kila kitu Kiko wazi kabisa
Nyote wabahatishaji tu.
Huyu ni "KOLO" kaulizwa swali lingi e anajibu lingine. Mchezaji lazima uingie kwenye mfumo. Mbona huulizi Azizi K?
Huyo ni Kocha wa uwazi na ukweli , Kama umekereka chukuwa mchezaji wako ende AKANYE.
tatizo kila mtu amekuwa mchambuzi hakuna unachokijuwa isipokuwa tu njaa inakusumbuwa unataka afanye unachotaka ww mtaumia sana
Acheni utoto kwani mmemuonasele pekeyake katika wachezaji wasiocheza? Uo niuchachezi wakijiunga acheni kuzania
Ma K sana nyie
kiukweli hana weledi wowote wakuchambuwa mpira alafu lazimaujuwe mbinu za kuzofisha mpinzani..kwani warabu wanatufanyeje ?jeote wanawatumiya?acha uchambuzi
Sio mtoto huyu? Anaongea utumbo tu!
Uzuri WA MWALIMU NI NAMNA TIMU INAVYOCHEZA SIO ANAVYOONGEA