tumeisha Ona kikosi kizuri alhamdulillah ombi letu kubwa nidhamu nje ya uwanja na ndani ya uwanja tulinde afya za wachezaji wenzako timu pinzani tuwe timu bora yenye nidhamu ya kuigwa kwani wote wanatafuta riziki za familia zao mungu mjalie pacome apone mapema na wote walio na majeraa
zinalsood8652 weeks, 2 days ago
Team kubwa, kikosi kikubwa na performance kubwa naipenda sana yanga yangu 💛💚🙏🙏
L
luz_mireles2 weeks, 1 day ago
Babaa Kilalakheir na kazi yako Inshaallah
N
nicholas_bell2 weeks, 1 day ago
Saw. Kaka tobe. ❤❤❤
K
kristin.ford2 weeks, 1 day ago
Yanga noma abuya noma
P
pénélopevaleon832 weeks, 1 day ago
Hawajui mpila
A
aprilclark9602 weeks, 2 days ago
Waombe msamaha.
L
laurie.morgan2 weeks, 2 days ago
Yanga huwa inapokea mitambo umitukumbusha dube na aucho
B
bradley.page2 weeks, 1 day ago
Tabora sio ihefu
N
nermin.täsche2 weeks, 1 day ago
Sasa mme.sajili ngoma wa nn alaf hachez
R
ross.craig2 weeks, 1 day ago
Risiti zishaanza kutoka
H
hugo.ozuna2 weeks, 1 day ago
Assante ssanna mdogo wangu Ali Shabani kamwe! Kwenye data za soka na usemaji barani afrika na FIFA huna mpizani! Wewe kabla huja anaza kuongea tu,wasikilizaji wameishatega masikio! Yanga Africans ina makombora kama ya IRAN 🇮🇷. Kila likitumwa limeua!!
howardandrews3122 weeks, 2 days ago
Acha kututowa kwenye mada ya s mwalim imekuwaje😅😅😅
tumeisha Ona kikosi kizuri alhamdulillah ombi letu kubwa nidhamu nje ya uwanja na ndani ya uwanja tulinde afya za wachezaji wenzako timu pinzani tuwe timu bora yenye nidhamu ya kuigwa kwani wote wanatafuta riziki za familia zao mungu mjalie pacome apone mapema na wote walio na majeraa
Team kubwa, kikosi kikubwa na performance kubwa naipenda sana yanga yangu 💛💚🙏🙏
Babaa Kilalakheir na kazi yako Inshaallah
Saw. Kaka tobe. ❤❤❤
Yanga noma abuya noma
Hawajui mpila
Waombe msamaha.
Yanga huwa inapokea mitambo umitukumbusha dube na aucho
Tabora sio ihefu
Sasa mme.sajili ngoma wa nn alaf hachez
Risiti zishaanza kutoka
Assante ssanna mdogo wangu Ali Shabani kamwe! Kwenye data za soka na usemaji barani afrika na FIFA huna mpizani! Wewe kabla huja anaza kuongea tu,wasikilizaji wameishatega masikio! Yanga Africans ina makombora kama ya IRAN 🇮🇷. Kila likitumwa limeua!!
Acha kututowa kwenye mada ya s mwalim imekuwaje😅😅😅
Kama unaikubali yanga gonga 👍 bas