MCHUNGAJI WA SIMBA ATOA LA MOYONI | HII YANGA ATAKAEBEZA ANIME AKILI
ADVERTISEMENT
Comments 47
rodrigo.mendes:
Mchungaji ww ni mtu wa mpira safi sana
More Like This
7:39
DICKSON JOB ANYOOSHA MIKONO KWA KOCHA MANQOBA / AKIPA NAFASI NITAPAMBANA, NIPO FITI KUITUMIKIA TIMU
Sports
197
0
3:01
Liverpool 2-1 Atlético de Madrid | HIGHLIGHTS - 2026/27 UCL Matchday 1
Sports
2.8k
0
21:25
EASY WORK! Man United 4-0 Sabah Goldbridge Match Reaction
Sports
3.4k
100
2:20
Champions League Is BACK! | Man Utd 4-0 Sabah | Highlights
Sports
12.2k
100
1:06
Premier League players who made one skill look unfair !
Sports
14.8k
28
5:29:30
LIVE: NSMQ Grand Finale 2026: St Augustine's vs PRESEC BOYS vs Accra Academy
Sports
146
0
5:06
Chelsea 6-3 Leeds United | 26/27 | Carabao Cup - Game highlights | Third Round | SportyTV
Sports
3.8k
100
3:39
HIGHLIGHTS | FC BARCELONA 5 vs 1 FEYENOORD | UEFA CHAMPIONS LEAGUE 26/27 🔵🔴
Sports
15.3k
100
You've reached the end
Mchungaji ww ni mtu wa mpira safi sana
Mimim najua mchungaji katibu utajiunga na yanga Leo umeongea mpira ❤❤❤❤❤🎉
Hopless.wa.kwanza ni ww,.ulisema yanga wamesajiri mchezaji mmoja tu SHALULILE,.wengine wote.hakuna kitu .leo.umebadilika. Upelekwe .milembe
Mwandishi unamkosea mchungaji leo Anahongelea mpira sio ushabiki
Nyoosha Mchungaji 😂😂😂😂
mchungaji kweli wew mtu wa soka huna baya
Jamani mchungaji unanivunja mbavu zangu yani unanikosha mpaka raha
Kesho ni ya mungu we huijui
Mchungaji mwambie mtangazaji akamuulize KIONGOZI yyt wa SIMBA kama atakataa Uwezo wa ENG HERSI
Hadi mzee kaweka mikono kichwani hapo kakubali mziki wa yanga tayari . Yanga bingwa tena.
BASI TWENDE HIVYO... YANGA MBOVU...Hahahaaa
Muandishi hajielewi
Wakat mwingine huyu jamaa anakuwa anakuwa anajitambua mno
Kumbe mda mwingine uwaangalie na hao waandish maswali gan analudia ludia hayo hyo,mchngj umenyook
Mchungaji comedy sana unakosha wewe...
Mchungaji usijali hawo waandishi wazoee tuu hawajuwi kazi zawo wanababaika tyu
Utatoka hata kwa nguvu
Mchungaji leo nimekuelewa unasema uwanja wa meja isamuyo sirizenu vinavuja kumbe wanachokisema yanga wako sahihi kuna mambo mnafanyaga mamboyenu ndio hawataki kuvalia vyumbani uwa unafanya yenu
mwandishi unajaribu kumuingiza mkenge mchungaji unajua....sema hapo wote hamjitambui...chupa na mfuniko wake hapo...mch ndiobu ajua leo kuwa YANGA KUBWA
😂😂😂😂😂😂