Ni sare ya maajabu kwenye Dimba la Bukombe, Ushirombo, mkoani Geita, Azam FC wakichomolewa dakika za jiooooooni. Azam wametangulia kwa penati kupitia kwa Abdul Suleiman Sopu, lakini wakachomoa kupitia kwa Obrey Chirwa... Kunako dakika za majeruhi, Azam wakafunga kupitia kwa Himid Mao, lakini dakika mbili baadaye wakachomoa kupitia kwa Martin Kigi. Hii ni Ligi Kuuya NBC.
ADVERTISEMENT
Masikini weeeeee😂😂😂😂
Yesu Ndiye njia ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI (Yohana14:6, Warumi10:9-10).
Hizi mechi kumbe za kiboya hivi ndiomana hatuzifatiliagi. Penalty gani hizi
Azam football club ni mradi uliofeli
Ibenge ataacha ndala muda simrefu😂
Kwenye uwanja mmeuwa
Azam kwa mpira huu Ubingwa atausikia kwenye redio tu daaah 😂😂
Wasenge hawa badala wakashangilie kwa mashabiki wao wakaenda kushangilia pembeni
Foba alikuwa anaenda wapi sasa na wakati mabeki walikuwepo tayari kuzuia mpira na hata ungepita ulikuwa unatoka ule Mmhh..🤔
Safiiiii 😅
Foba amefanya maamuzi yasiyo sahihi
Ila jamani hii timu inaonewa hii sasa Kuna penati gani pake
Foba kawauza Azam
Yaani mtangazaji kanikosha et maskini weeeeee😂😂😂😂😂
Azam bola kubadilishana na maandazi
Utasikia wabongo ooo fei sali ni mchezaji yupi ameshindwa kuisaidia azam huyo mchezaji!!
Nisiwe muong nimewafurahia sana geita😅😅
Foba kazingua sana
Na mchezaji wa mabilioni ndani😅😅
Dakika za jioni😂😂😂