ALIKAMWE: MECHI IJAYO DOUMBIA ACHEZE PEKU/AJE YANGA AFUNGE MAGOLI
ADVERTISEMENT
Comments 12
christopher_moon:
Hatutaki vurugu kama zile za upande wa pili, wachezaji wote…
More Like This
7:39
DICKSON JOB ANYOOSHA MIKONO KWA KOCHA MANQOBA / AKIPA NAFASI NITAPAMBANA, NIPO FITI KUITUMIKIA TIMU
Sports
197
0
3:01
Liverpool 2-1 Atlético de Madrid | HIGHLIGHTS - 2026/27 UCL Matchday 1
Sports
2.8k
0
21:25
EASY WORK! Man United 4-0 Sabah Goldbridge Match Reaction
Sports
3.4k
100
2:20
Champions League Is BACK! | Man Utd 4-0 Sabah | Highlights
Sports
12.2k
100
1:06
Premier League players who made one skill look unfair !
Sports
14.8k
28
5:29:30
LIVE: NSMQ Grand Finale 2026: St Augustine's vs PRESEC BOYS vs Accra Academy
Sports
146
0
5:06
Chelsea 6-3 Leeds United | 26/27 | Carabao Cup - Game highlights | Third Round | SportyTV
Sports
3.8k
100
3:39
HIGHLIGHTS | FC BARCELONA 5 vs 1 FEYENOORD | UEFA CHAMPIONS LEAGUE 26/27 🔵🔴
Sports
15.3k
100
You've reached the end
Hatutaki vurugu kama zile za upande wa pili, wachezaji wote ni sawa walicheza wanapata kujiamini tusianze kupangia kocha wachezaji gani wacheze, tumeshinda no complaints at all and congratulations everyone 👏 💖
Mashaallah Alhamndulilah kwamafanikio tulioyapata nakuomba Allah tuzidishie mafanikio zaidi kwenye timu yetu Inshaallah
Sasa unata team kilasiku icheze vizuli hata ulaya hakuna team inacheza vizuli kilasiku
Mwakani tena 💚💚
Kwani wachezaji wanaotokea sub kwamba huwa hawana uwezo?maana kwa mfano leo baada ya kuingia tu timu ikawa inacheza ovyo kabisa
Nataka jezi ya yang 2017 naipataje nimeitafuta kila mahali nimeikosaaa
Ngoma ni passer nzuri sana. Ila hatoi nafasi ya kuruhusu wenzie wamchezeshe na yeye achezeshe team.. Anajikaba hakai kwenye space. Akirekebisha hilo ni mtu sana. Asipofanyia kazi mwisho wa msimu anauzwa.. Anapopokea mipira unajua hii mali. Anapiga pass kwa usahihi sana na ana nguvu Anayeweza kumfikia amwambie kabisa afanyie kazi eneo la kufungua nafasi ili apokee pass toka kwa mabeki wake na yeye aichezeshe team, aache kujificha
Ila kipindi Cha pili Team yetu imecheza ovyo, hili ni jibu kuwa First eleven isiguswe
mm n mwananchi ila uyo Shalulile hana ishu yyte kaisha😢
Ngoma kazima sana kati
tunakuomba wachezaji ambao hawa uwezo wakulinda mpira wawahi kutoa pasi tumeona baadhi ya wachezaji wananyanganywa mpira kilahisi na pass zao azifiki kwa mlengwa lifanyieni kazi hilo
Tupeni sababu ya msingi kwanini Aziz K hachezi