Justin Jessy kweli unajua mpira🥱🥱🥱🥱 Enginner Hersi wamfikirie Max kwenye maslahi kwa kweli. Karia mpeni uraia Max atufae katika team ya Taifa,kwa kuwa Congo hawataki kutumia kipaji.... Na Kama kocha alivyo shangaa kuto kuitwa team ya Congo Karia atumie fursa hii.
T
trinidad_apodaca1 week, 5 days ago
Jamaaa anaujuwa mpira sana🎉🎉🎉🎉🎉
M
margotgilles4321 week, 5 days ago
Sawa jastn nakuelewa sana🎉🎉🎉🎉🎉
E
elaine_fry1 week, 5 days ago
Najiuliza kwanini hatumpi uraia Max ili achezee timu yetu ya Taifa!
valentim_darocha1 week, 5 days ago
Alafu jamaa sahiv nadra sana kuona interview zake ila verified genius big up broo🎉🎉🎉🎉
M
meghana_bobal1 week, 5 days ago
Nakukubali sana bro
abigailbrown4821 week, 5 days ago
Genius sana hili jamaa 🫡🫡🫡🫡
A
aimée.foucher1 week, 5 days ago
Harafu Viongozi Wa YAnga Wamfikilie Mfalme Max Tafadhali. Harafu Mungu Amlinde Max Sana
L
laurie.morgan1 week, 5 days ago
Hatimaye uyu jamaha kapatikana nilim miss
N
nicholas_bell1 week, 5 days ago
Kwelii Ngoma n jembe
advaithsoni6541 week, 5 days ago
Kenneth mkapa
P
pietrawhisper211 week, 5 days ago
Justin kessy tunakupata vizuri sana inawezekana vyote unayo yasema kuhusu max kuwa ndio injini ya yanga maanake dah huyo max anafanya kweli kazi kubwa kuliko wachezaji wetu wote
steven.gonzalez1 week, 5 days ago
Huyu Maxi anaongea uwanjani hana maneno mengi ya mdomoni.
A
amanda.knight1 week, 5 days ago
Justn kessy ww kiboko 😅😅
R
raagini_dhar1 week, 5 days ago
Japo umezidisha sifa ila Ukweli unabaki PALEPALE MAX n Wa Aina yake
Justin Jessy kweli unajua mpira🥱🥱🥱🥱 Enginner Hersi wamfikirie Max kwenye maslahi kwa kweli. Karia mpeni uraia Max atufae katika team ya Taifa,kwa kuwa Congo hawataki kutumia kipaji.... Na Kama kocha alivyo shangaa kuto kuitwa team ya Congo Karia atumie fursa hii.
Jamaaa anaujuwa mpira sana🎉🎉🎉🎉🎉
Sawa jastn nakuelewa sana🎉🎉🎉🎉🎉
Najiuliza kwanini hatumpi uraia Max ili achezee timu yetu ya Taifa!
Alafu jamaa sahiv nadra sana kuona interview zake ila verified genius big up broo🎉🎉🎉🎉
Nakukubali sana bro
Genius sana hili jamaa 🫡🫡🫡🫡
Harafu Viongozi Wa YAnga Wamfikilie Mfalme Max Tafadhali. Harafu Mungu Amlinde Max Sana
Hatimaye uyu jamaha kapatikana nilim miss
Kwelii Ngoma n jembe
Kenneth mkapa
Justin kessy tunakupata vizuri sana inawezekana vyote unayo yasema kuhusu max kuwa ndio injini ya yanga maanake dah huyo max anafanya kweli kazi kubwa kuliko wachezaji wetu wote
Huyu Maxi anaongea uwanjani hana maneno mengi ya mdomoni.
Justn kessy ww kiboko 😅😅
Japo umezidisha sifa ila Ukweli unabaki PALEPALE MAX n Wa Aina yake
Huna baya justin
Sasa anajuaje kama Hana masilahi
Kwel tunashindw kuelew