🔥 Karibu kwenye SAUTI YA MICHEZO TV 🔥 Hapa tunakuletea HABARI MOTO ZA MICHEZO, UCHAMBUZI WA KINA, MATOKEO YA MECHI, USAJILI MPYA, PAMOJA NA MATUKIO MAKUBWA YA SOKA TANZANIA NA DUNIANI. 📌 Tunazungumzia: Habari za Ligi Kuu Tanzania (NBC Premier League) Simba SC, Yanga SC, Azam FC na timu nyingine Usajili wa wachezaji na tetesi za usajili Ligi za Ulaya (EPL, La Liga, Serie A, Bundesliga na Ligue 1) UEFA Champions League na CAF Champions League Matokeo ya mechi na ratiba Uchambuzi wa mechi na takwimu za wachezaji Breaking News za michezo Tanzania na duniani 🎥 Video zetu zinakuja kwa mtindo wa:UCHAMBUZI • HABARI ZA HARAKA • MATOKEO • USAJILI • HOJA NZITO ZA MICHEZO 👉 SUBSCRIBE sasa👉 LIKE 👍👉 COMMENT 💬👉 SHARE 🔁 🔔 Usikose habari muhimu za michezo kila siku kupitia SAUTI YA MICHEZO TV ⚽🌍 #NBCPremierLeague #LigiKuu #LigiKuuTanzania #TanzaniaFootball #SokaTanzania #Mpira #BongoSports #Football #FootballNews #MatchDay #simbanguvumoja #daimambelenyumamwiko
ADVERTISEMENT
Colabo bora ya dauda na miraji mara moja
Miraji umekua sasa, hakika nimeipenda sana hiyo
Digala yupo sahii kabisa..Doumbia ni swala la Muda tu..ndio maana Kocha anamuamini
Leo zamu lako kutobolewa kifua na shafii
Umekua mpole
The man in green tshirt speaks the fact. 👏
Staffing kasikia goooo,amekimbilia kwenda kuangalia replay😅
Oya Mzee wangu Shafi Dauda huyo Milaji anafaa pale clouds Fm kwa uchambuzi wa mpila
Wewe miraji kumbe chizi ngoja utakuja kuona
Huyu jamaa apew kipindi kwenye media
Kaka miraji kula shule kula shule!!
Miraji umekutana na fundi kuchambua..Msikilize Kwa makini Digara anakupa vitu adimu...Sio mtu wa kupayuka uyo ..Bali ni ufundi zaidi umelala
Hao ndo wanokula ela zausajili
Mbona dauda haumpigi bega kama unavokua unampiga chagamba
Mpaka mwamba unamboost bega 😂 🤣😂 we hufai kuwa kabiru na viongozi wakubwa 😂
Wakubwa
dauda ukula mikofi apo
Mbona ni fupi sasa hi mahusiano
Colabo moja matata sana
HUYU ATAKUA KAHUSIKA KUMLETA DUMBIA