#Bhailam ⭐ Disclaimer This Content is Totally made by us, Don't use sound or Reupload otherwise we are not Responsible for your Channel! Subscribe hapa : https://www.youtube.com/@Bhailamkhan/ Subscribe to Comedy Plus: https://www.youtube.com/@ComedyPlustz/videos Like Ukurasa wetu wa Facebook :https://www.facebook.com/Comedyplustz/
ADVERTISEMENT
Pamoja na Kutoa kazi kila siku ila bailam kazingua kitu kimoja tuuh Mpenzi wake amekufa...wakati watu wengi tulikuwa na shauku ya kuona kampuni inarudi pia unafunga ndoa Lakini haijawa hivyo Bailam watu wengi wameacha kufuatilia hivi movie kwasababu mpenzi wako amekufa🙏🙏🙏
Km una Amini Mungu ni mwema kwetu basi ngoga like sema Amina Amina ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤🎉
kwa sasa uko vizuri sana,auchelewechi kazi zako ongera sana
Naomi aki farikii basi move hatu angalii tena
Jaman 2lio mmiss xhaban madobe 2juane
Mungu ampe Kila mtu hitaji lamoyo wake amina 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Jamani move hainogi bila kuwa na naomi hainogi kabisa ❤❤❤❤❤❤
Kaka sasahivi umeamua yaani back to back aisee hongera sana kazi nzuri sana unajua
Hamza saluti unajua mpaka umesahau njia😂😂😂😂
🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Mr, bailamo, mas força irmão, nakukubali sana
Kaz nzuri sana
Tunapoelekea namuona naomi akija kama mzimu kulipa kisasi wanaokubaliana namim gonga like
akuna kufa mbaka kieleweke 😂😂😂😂😂 🐃
Mtt na bb akl sawa
Mbna atuoni msiba wa naomi
no body knows tommorow
Nimeaba kama hutorudisha naomi sitawai angalia hii movie tena😢😢
Kazi ilianza vzr sana lakn umaliziaj wenu mnajuag wenyw lkn ss tupo na nyny hvhv😅😅😅
I appreciate your work bhailam❤🎉
Eti zinapigwa ata mbinguni zinapigwa tu😂😂😂