DADA WA KAZI – MOVIE YA KUSISIMUA NA KUGUSA HISIA Karibu kutazama movie ya Dada wa Kazi, simulizi yenye mafunzo makubwa kuhusu maisha na mateso wanayopitia baadhi ya dada wa kazi katika jamii. Movie hii inaonyesha changamoto, unyanyasaji, dharau, na mapambano wanayokutana nayo wakiwa kazini huku wakijitahidi kutafuta maisha bora. Je, dada wa kazi atafanikiwa kuvumilia mateso hayo au atapata haki yake? Tazama hadi mwisho ujifunze somo muhimu kuhusu upendo, utu, na haki za binadamu. Usisahau: ✅ Like ✅ Comment ✅ Share ✅ Subscribe kwa movie na simulizi zaidi zenye mafunzo. #DadaWaKazi #MovieYaKiswahili #BongoMovie #DramaYaKusisimua #MaishaYaDadaWaKazi #SwahiliMovie #MovieMpya #MafunzoYaMaisha #TanzaniaMovies #Drama #mtotowaajabu #MamaWakambo # ClamVevo #biggboss #dontatv #bollywood #bintiyangu #ndoa #lovemeagain #dunia #kiparabrand #babajoan #kpwaaquino #babygirl #bhojpuri #baba #babyboy #babysuputv
ADVERTISEMENT
Wanaomuhurumia Leticia kama Mimi hapa gonga like tukisonga😢😢
Leticia nilikuambia acha kua mnyonge 😢😢
Yani ukiwa natabia kama ya Tami mpaka anakela
Ifikie mwisho maana Leticia anateseka 😢😢
Tukimaliza movie🎥 yetu pendwa mje nakwangu ku support mziki wangu please🙏🙏🙏🙏
Wa kwanza kutoka kenya wapi like jameni❤❤❤❤🎉
Km una Amini Mungu ni mwema kwetu basi ngoga like sema Amina Amina ❤❤🎉❤🎉❤🎉🎉🎉🎉🎉
Munao muchikiya tamy kama mimi apa nipeni like jamani
Aki si leo mnipee likes jameni
Kanoni djeni akufai kabisa,Farida Sawa ❤
Tami nakuchukia
Ila apo mumetudanganya mala falida anawachungulia kina kanoni mala yupona seba na wakat ata mwannzo alikuana seba ila 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri MMG Tv Mungu awafikishe pale mnastailii, na nimewaona live❤🎉
Leo mmi nimewahi wa 10 mnipe like
Leticia unakwama wap jamani si kwaupole uu jamani
TAMI anaroho mbaya kweli...
Nimewah naomba like❤😂
Geita katoro mkoapiiiiiiiiii Naomba like zenu jamani 😊
Jamani Leticia si anapigwa kweli au analipwa pesa nyingi áu jamani like apo kutoka MIULA Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Nimewaona