SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: https://simbasc.co.tz/ 📱 App Store - https://apps.apple.com/tz/app/simba-sc/id1564389213 📱 Play Store - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&hl=en 🔵 Facebook: https://www.facebook.com/simbatanzania/ 📸 Instagram: https://www.instagram.com/simbasctanzania 𝕏 Twitter: https://twitter.com/SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: https://www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC YouTube Channel: Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference 🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
ADVERTISEMENT
KAMA UNAIPENDA SIMBA KWENYE SHIDA NA RAHA LIKE APA 🔥🔥🔥❤❤❤
Tulikumis san Tobias
Kesho kwa majaliwa yake mola duombia atafunga insaaalllah
Doumbia ni mzhezaji mnzur wana simba tuwe wamoja
Tobi Umeludi Mwamba Tupo Pamoja Sana Mwana Familia Wa Simba 🙏
Comred la cuf naona anamafua pole mungu akuafu inshala
Master interviewee Tobias Tobias...
Tobi na semaji inter view ndo inanogaga 😂😂😂😂
Kwaheshimaaa sanaa
I love Mnyama❤🎉
Furaha yangu ni kumuona Tobi amerejea.. kwenye idara ya habari na mawasiliano ya simba SC combination ya Tobi na Ahmed Ally imekaa poa sana kiufupi wanaelewana sana
Collabo yenu tobi na ahmed inavutia kinoma noma yani
Yeah welcome again tobi
Bora umerudi Tobi
Tobi tulikumiss huko kwa wanawake aende chiko maana huku kwa senior team hakuwezi tulimiss interview zako chiko kila matukio yuko wa mwisho kutuletea
Semaji la CAF 😅😅😅😅😅
Chico awezi kuuliza maswali vizuri
KAKA UWONGO DOUMBIA AMUNA KITU 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🎉😢
mm ushauri wangu simba ni timu nzuri na inawachezaji wazuri na wenye speed ila aproach ya mwalimu ndio shida timu inacheza very slowly na back pass nyingi zisizo na ulazimu drock yeye analala na mpira hana uharaka wa kuanzisha mashambulizi ,timu haina shoti pass za haraka za kufungua wapizani ndio sababu straker ni ngumu kushinda kwasababu timu pizani inakuwa inaziba mapengo na kuziba gap ndio sababu matokeo ni finyu na kama hatutarekebisha ipo siku itatugharimu kwa droo au kufungwa.
Welcome back tobias sebastian