Duuh!! MIRAJI Acharuka Kila Mtu Atoe DukuDuku Lake Asitishiwe | Simba Inashinda Mbona Hawana Furaha?
ADVERTISEMENT
Comments 17
zoé_rousset:
Milaji mungu akupe nguvu akupe afya njema ujumbe unafika ka…
More Like This
1:11
HIGHLIGHTS | Real Madrid 2-1 Inter | Champions League
Sports
4.3k
0
10:42
AHMED ALLY:LIBASSE GUEYE KUIVAA MIGHT MIGHTY WANDERERS UHURU ADHABU YAKE IMEISHA
Sports
498
41
3:58
⚽ Liverpool 2-1 Atletico Madrid [HIGHLIGHTS] Champions League 26/27 ✅ | Match Simulation/Recreation
Sports
199
0
0:52
Why footballers FAKE their reactions for the cameras 👀
Sports
3.9k
0
0:18
Pep uses tactics on Haaland 😂
Sports
8.5k
0
8:32
EXTENDED HIGHLIGHTS - Barcelona Vs Feyenoord 5-1 | Goals & Highlights | Champions League 2026/27
Sports
4.6k
28
2:12:01
LIVE | Al Nassr vs Abha | Saudi Pro League | SportyTV
Sports
1.5k
2
27:31
BARCELONA 5 FEYENOORD 1, MATCH ANALYSIS, RAPHINHA, LAMINE, JESUS, CHELSEA NEWS AND ALL NEWS
Sports
1.8k
91
You've reached the end
Milaji mungu akupe nguvu akupe afya njema ujumbe unafika kaka
Miraji natamani kazi yako iwe hiyo tu yakuongea maana ukiongea unasikilizwa si unaona kama ivo shafi amerudi
Unaongea ukweli kaka....
Saf sana Kama coach w viuongo shavi karud
Nakukubali sana miraji unaongea ukweli
Milaji wakwnz apa
Hey
👊
Kolo hawez shinda zoteee
Home boy
Tikomodise captain
Miraji umeongea ukweli mtupu.....Simba wanakosa mno magoli.....au kuna siri gani?
Wambie milaj
Miraji ninakufuatilia sana lakini nakuomba huu ushauri wako utoe kwenye Chama lako la Simba, unawafaidisha sana wapinzani na mara nyingi unawapa madhaifu yetu wenzako wanafaidika.
Toure hana goli
Nyie mnatumika wachezaji wa yanga mnawasifia wachezaji wa kutwa kuwaponda mbona mashabiki wa yanga huwa hawasifii wachezaji wetu, michezo 4 mnajueje ya mbele timu yoyote inaweza inaweza kupoteza mbele huko
Miraji tunarudia tena kukuambia maneno yako hayo hayaisaidii simba Bali yanaiangamiza, yanaijenga yanga. Hao yanga ndo wanaokusifia na kukuvika kilemba cha ukoka. Tafuta platform inayofaa kusemea huo ushauri wako. Actually, you are causing more harm than remedy to Simba. Mbona umeshindwa kujielewa