Pata habari motomoto za muziki, burudani, utamaduni, siasa, matukio, habari za kina, na michezo kupitia Wasafi Media. Hii Ni Yetu Sote. https://wasafimedia.co.tz/ 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2025 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm
Sign in to join the conversation
Ukisikia nchi ya kusadikika ndo hii sasa
Pumzika kwaa amani magufuri huku hatuerewi kabisaa
Afu wapinzani wakizungumza kuhusu upigaji wanasema wanahalibu nchi
Nashindwa kuelewa😂
Ila musa kwakucheka 😂😂😂
Radi kumbe na yenyewe imetengewa budget 😂
Ulinzi dhidi ya radi,hao security watakaa wapi angani au?
Mussa unacheka mpka nacheka na mm pia 😂😅
Apo utasikia hao watangazaj wamepewa kes ya uhain au wametekwa daaaah😂
😂😂😂cjui nacheka Nini kwakweli mpaka machozi yemenimwagika
Nchi yangu😮
Pesa za kula Bata Dubai I like it
Upembuzi Yakinifu...... RIP MAGU
Tunacheka kama mazur😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Bilion 763
Inaeleweka : hapo ni namna ya ku'justify ma'B tzsh zinazo daiwa kuhujumiwa na ...
ujue unaweza ukachukua jungu ukawabandika hawa watu ukawachemsha supu ukawanywa kwa hasira wanatuona kama matako yao
Ila hapo kwenye ulinzi wa radi 😂😂😂😂😂😂
Yaani nimecheka hadi miguu imedondoka dah😢
Watu wanapiga hela hadi raha😂😂😂
tatizo limeanzia kwenye Chikungunya hapo 😅😅😅😂😂😂