SUBSCRIBE NOW: 🌐 Site: https://simbasc.co.tz/ 📱 App Store - https://apps.apple.com/tz/app/simba-sc/id1564389213 📱 Play Store - https://play.google.com/store/apps/details?id=com.simbasc&hl=en 🔵 Facebook: https://www.facebook.com/simbatanzania/ 📸 Instagram: https://www.instagram.com/simbasctanzania 𝕏 Twitter: https://twitter.com/SimbaSCTanzania 🎶 Tiktok: https://www.tiktok.com/@simbascofficial About the Official Simba SC YouTube Channel: Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference 🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
ADVERTISEMENT
KAMA UNAIPENDA SIMBA KWENYE SHIDA NA RAHA LIKE APA 🔥🔥🔥❤❤
Semaj letu ktabu kpo... Simba nguvu moyaaaa🎉🎉
Mamb Lele semaj❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Libase gueye umzungumze Kwa adabu,,sihitaji kusikia sifa Kwa wachezaji wasio na uwezo mkubwa kama wa libase gueye ,team nzima ya siimba uwezo wa kummiliki libase gueye Kwa uwezo alionao tutapata taabu sana,,Hadi Leo libase gueye kuwepo kwenye kikosi Cha Simba SC ni kama bahati inatutembelea,vinginevyo wangelikuwa walishambetua mapeeeeema ,Kwa kiwango kikubwa na ubora alionao,,kiuhalisia libase gueye amesajiliwa Simba katika kipindi ambacho tulikuwa hatunatumain amekuja kileta tumain jipya,,siyo kama wakina Elie mpanzu hawawezi kusaidia timu,wabinafusi ,wanapenda kucheza na jukwaa ,hawana kiu ya kuusaka ushindi ,kiufupi mpanzu hawezi kutegemewa na Simba ,ila libase gueye ni moto ndani ya Simba SC,,saluti kwake
Mungu ibariki Simba,na walimu wote,na wachezaji wote,zaidi Doumbya apate kibali Cha kufunga,mpe uvumilivu raisi wetu wa heshima MO,ili tuzidi kuwa juu Kwa jina la Yesu.Ameni.
Chilambo anaupiga mwingi
Asante Sana semaji la Simba lakini ukiwa Kama nisehemu ya viongozi wa Simba ,ebu mjaribu kuwaonya nakuwashauri wachezaji washambuliaji Kama Mpanzu waache ubinafsi na kukokota Mpira kwa muda mrefu kunakoishia kunyang'anywa Mpira na wapinzani wakati wenzie wakiwa tayari wamesha kaa kwenye nafasi.kosa hilo ndilo linalowafanya baadhi ya wachezaji kulaumiwa kuwa hawafungi,Sasa watafunga vipi Kama wachezaji wenyewe hawasaidiani,nahili ndilo linalopelekea timu ya Simba kukosa magori mengi.Ebu jaribuni kuwa ambia ukweli ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Simba SC nguvu Moja ubaya ubwela
Simba Bingwa NBC mwaka huu Vyura wameumia sana Geita kufungwa
Yani hapa simba raha sana ukipata ushindi uwanjani raha ukija kumsikiliza huyu jamaa Ahmed ali raha yani huyu ni libase wa maneno
Chama goli la tatu dhidi ya singida , pamba ,na geita
ila wachambuzi wa bongo eti wanaitahazarisha simba na geita wakasahau kuwatahazarisha geita kwakuw wamepat sare na azam wakaiyon geita ni Bayan munich
Chilambo.....cheza na mafundi ue fundi
🎉🎉🎉
😂😂🔥🔥
Ahsanteni wana Simba wote waliojitokeza kwenye mechi ya Geita kwa upendo wenu uliouonesha kwa Doumbia nimefarijika sana sk ya jana tuendekee kumpa sapoti huyu ni bonge la mchezaji wallah kuna sk mtanikumbuka hy maneno yng.atafunga tu Mungu akipenda tumuombee dua .
Naomba libase Gueye tujqdili sanamu lake lijengwe waaapiiiii
Libasaa Gueye Goal Moja Assist 5 amehusika kwenye magoli 6 kati ya 9 amabayo Simba amefunga MSIMU HUU
Tz tunae kagoma na chilambo boll limekaa
Semaji la viwango 😂