AHMED ALLY CHILAMBO SIO MTANZANIA/NI ZAIDI YA MBWA/KIWANGO CHAKE HAKUNA KWENYE HII NCHI/DOUMBIA
ADVERTISEMENT
Comments 26
maríacristina_deanda:
Wachezaji wa Simba tunaomba msipende kuridhika na magoli ma…
More Like This
0:41
TAZAMA HILI NDIO GOLI WALILOFUNGWA YANGA NA GABORON UNITED ,UNI UZEMBE AU SIO UZEMBE
Sports
81
0
7:53
MCHOME MAPOVU ACHAFUKWA NA CHAMA,HUYU NI MUONGO,SIMBA TUSIWACHOKOZE YANGA WATATUVURUGA KWA MASIMANGO
Sports
0
0
2:29
GABORONE WAKIWAROGA YANGA WAZI WAZI USHIRIKINA & UCHAWI
Sports
69
0
10:20
SIMBA CAF NI NEXT LEVEL‼️ MSIFANANISHE NA WENGINE | KWA SIMBA HII KILA MTU ATATUBU TU DAADEKI 🙌🙌
Sports
103
0
2:26:51
🔴# LIVE: MIGHT WONDERS (0) (1) SIMBA SC (CLUB BINGWA)
Sports
77
0
16:01
WAREMBO WA SIMBA WATOA POVU SELEMAN KUFUNGA/WAMTAJA DOUMBIA/WAUVAA UONGOZI WAO KUMUACHA
Sports
100
0
13:05
🚨uchambuzi cloudsfm,mjadala mzito waibuka baada ya selemani mwalimu kufunga bao la kusawazisha
Sports
101
0
0:16
Vibe la yanga goli la selemani mwalimuuuu
Sports
233
0
You've reached the end
Wachezaji wa Simba tunaomba msipende kuridhika na magoli machache. Pili, jifunzeni kwa Chilambo kutoa pasi za uhakika kwa wachezaji walio kwenye nafasi nzuri. Tatu, Mpanzu acha kumiliki mpira muda mrefu. We love Simba SC.
Mungu mbariki Doumbya,ni mchezaji mzuri sana,Chilambo ukawe Bora zaidi Kwa Neema yake Mungu, Asanteni wachezaji wetu Mungu awe nanyi nyote na benchi la ufundi,zaidi Mungu ambariki Mo,raisi wetu.Simba nguvu Moja
Mwambieni kocha awambie wachezaji yafuatayo: 1.Wasiwe wanaridhika na magoli machache wawe wanapambana kupat magoli mengi 2.Mpanzu aambiwe aache uchoyo wa kutoa pasi, leo katukosesha magoli 3.Doumbia akae benchi maana hakuna anachoisaidia timu
Chilambo ndo mchezaji pekee anaez akaziba pengo la Trent Alexander Arnold pale liverpool
Mashabiki wa Simba tuendelee kumtia moyo Doumbia. Kuna watu wanamponda Doumbia wakijifanya ni mashabiki wa Simba. Tumuombee kwa Mungu aanze kufunga.
Nimependa sana washabiki wa Simba kumpa "maokoto" Dumbia... Hii inampa nguvu ya kujiamini..❤❤
Alhamdulillah 🤲 🙏🙏✔️
Mi nimeshindwa kusikiliza nimeona mrembo hapo pembeni
Simba sc nguv Moja I love you Simba forever
Huyu jamaaaa ni ndugu wa Bambo wa Comedy anachokiongea ni comedy tupuuuu 😂😂😂😂😂😂😂😂
Aaaaaaaaa semaji kalazimisha king ,nani kaona anipe like ,eti na tiket yako nione mm,asante semaji wa tatu huyoooooo🎉
Mungu atatujalia
Aseeee hii mashineee hiii
❤❤❤❤
Wana simbaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Simba bingwa ❤❤❤❤❤
Nathanael
Dah!!? Ama kweli huna tofsuti na Ndalo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Harafu ukishaona vijanajike vinakuchekelea ndiyo unajamaliza mpaka Una kifuru Mungu
Kweli bhana wachezaj wa simba wakifunga tu magoli mawili wanaridhika
Chilambo