Bado UNITED kwa HULL CITY,ni lidude mno -- UNITED Kufungwa na hullcity,haimaanishi kuwa,United ni underdog kwa hullcity -- ukweli ni kuwa HULLCITY kuifunga United ni kama " kunguru kumnyea mwanadamu,hiyo haimaanishi kwamba,ana shabaha sana " inaweza kuwa,amebahatisha.
T
tony_johnson5 days, 15 hours ago
Ayo kafukuzwa?
C
christopher_moon5 days, 8 hours ago
HIZI MEDIA ZINASHIDA SANA NA YANGA.. SIJUI NI USHABIKI AU WANACHUKI.... WAKATI YANGA HAWAKO VIZURI.... MNASEMA SIMBA NI BORA, YANGA MBOVU.... YANGA WAKIWA BORA... MNAKUJA NA SABABU ZINGINE KIBAO NOW HAWANA KIKOSI KIPANA... LEO HATUNA TIMU NZURI KTK LIGI.... MBONA HIZI SABABU HUWA HAZIPO SIMBA WAKIWA BORA? 😂😂
Ayoo kaenda wapi?
Nimekumbuka akati hansi anamchambua Kouma 😂😂
Uchawa jamani utaisha lini????