KABWE AMUOMBA MSAMAHA DOUMBIA / LIBASE GUEYE BURUDANI YA TAIFA / CHIRAMBO NI AI MASHINE SIMBA
ADVERTISEMENT
Comments 13
amanda.matthews:
Kaka nakukubali sana
More Like This
0:41
TAZAMA HILI NDIO GOLI WALILOFUNGWA YANGA NA GABORON UNITED ,UNI UZEMBE AU SIO UZEMBE
Sports
81
0
7:53
MCHOME MAPOVU ACHAFUKWA NA CHAMA,HUYU NI MUONGO,SIMBA TUSIWACHOKOZE YANGA WATATUVURUGA KWA MASIMANGO
Sports
0
0
2:29
GABORONE WAKIWAROGA YANGA WAZI WAZI USHIRIKINA & UCHAWI
Sports
69
0
10:20
SIMBA CAF NI NEXT LEVEL‼️ MSIFANANISHE NA WENGINE | KWA SIMBA HII KILA MTU ATATUBU TU DAADEKI 🙌🙌
Sports
103
0
2:26:51
🔴# LIVE: MIGHT WONDERS (0) (1) SIMBA SC (CLUB BINGWA)
Sports
77
0
16:01
WAREMBO WA SIMBA WATOA POVU SELEMAN KUFUNGA/WAMTAJA DOUMBIA/WAUVAA UONGOZI WAO KUMUACHA
Sports
100
0
13:05
🚨uchambuzi cloudsfm,mjadala mzito waibuka baada ya selemani mwalimu kufunga bao la kusawazisha
Sports
101
0
0:16
Vibe la yanga goli la selemani mwalimuuuu
Sports
233
0
You've reached the end
Kaka nakukubali sana
Unaongwa ukweli sana kabwe awa wanaosema Simba mbovu kisa walicheza chini yakiwango ktk derby, waache waendelee kuamini ivo ila watakutana na Surprise, October 10 siombali
Yani kaka kabwe nitunu kwenye nchi yetu yani ni mwambaaaaaaaaa sana
❤tutaipenda Simba yetu Simba nguvu moja
Huyo libasse aongezwe mshahara lkn na hela zetu hizi za beki lzm siku moja tutamuona utopolo
Kweli yule ni mchezaji hatar
Kabwe ndo mchambuzi katika nchi hii
Mimi sielewi kwenye bench la ufundi huwa wanawashauri nini akina Mpanzu kwa sababu wanamakosa yanayojirudiarudia. kwahilo Simba Ina koseshwa magori mengi Sana .Bigup Kabwe kwa uchambuzi
😂kabwe ni simbaa subiria ifungwe anaumiaa sanaaa
Kwel kak umesema kwel unaongea pweit kuacha uyomzee said mnafiki mzee huyo kwaza sishabiki wasum a huyo.zee
Na huyo boss ambaye kumsajiri Duombia kweli katupiga pesa .kwa huyu Doumbia ndo ujue viongozi wetu simba wengi wapigaji 10%
Assnte
Kabwe yanga anamfunga simba siokama yanga boraa. Yanga anamfunga simba kwa miundombinu yannjee. Lakini kimpira yanga awezikumfinga simba. Ukweli ndiyouoo.