Soultrob Soultrob
Home Videos Search Liked Videos Bookmarked Inbox Notifications Sign In
Get it on Google Play Log In
Soultrob
0:00
35:29
35:29

GB 64 AISOMA KATIBA MPYA YA SIMBA YENYE WAWEKEZAJI 3 / SITAKI MILION 5 AMLIPUA KISUGU NA MC GARAB

Sports
ADVERTISEMENT
Comments 40 ross.woodward: We nawe ushapewa posho kaa kimya
More Like This
TAZAMA HILI NDIO GOLI WALILOFUNGWA YANGA  NA GABORON  UNITED ,UNI UZEMBE AU SIO UZEMBE 0:41
TAZAMA HILI NDIO GOLI WALILOFUNGWA YANGA NA GABORON UNITED ,UNI UZEMBE AU SIO UZEMBE
Sports 81 0
MCHOME MAPOVU ACHAFUKWA NA CHAMA,HUYU NI MUONGO,SIMBA TUSIWACHOKOZE YANGA WATATUVURUGA KWA MASIMANGO 7:53
MCHOME MAPOVU ACHAFUKWA NA CHAMA,HUYU NI MUONGO,SIMBA TUSIWACHOKOZE YANGA WATATUVURUGA KWA MASIMANGO
Sports 0 0
GABORONE WAKIWAROGA YANGA WAZI WAZI USHIRIKINA & UCHAWI 2:29
GABORONE WAKIWAROGA YANGA WAZI WAZI USHIRIKINA & UCHAWI
Sports 69 0
SIMBA CAF NI NEXT LEVEL‼️ MSIFANANISHE NA WENGINE | KWA SIMBA HII KILA MTU ATATUBU TU DAADEKI 🙌🙌 10:20
SIMBA CAF NI NEXT LEVEL‼️ MSIFANANISHE NA WENGINE | KWA SIMBA HII KILA MTU ATATUBU TU DAADEKI 🙌🙌
Sports 103 0
🔴# LIVE: MIGHT WONDERS (0) (1) SIMBA SC (CLUB BINGWA) 2:26:51
🔴# LIVE: MIGHT WONDERS (0) (1) SIMBA SC (CLUB BINGWA)
Sports 77 0
WAREMBO WA SIMBA WATOA POVU SELEMAN KUFUNGA/WAMTAJA DOUMBIA/WAUVAA UONGOZI WAO KUMUACHA 16:01
WAREMBO WA SIMBA WATOA POVU SELEMAN KUFUNGA/WAMTAJA DOUMBIA/WAUVAA UONGOZI WAO KUMUACHA
Sports 100 0
🚨uchambuzi cloudsfm,mjadala mzito waibuka baada ya selemani mwalimu kufunga bao la kusawazisha 13:05
🚨uchambuzi cloudsfm,mjadala mzito waibuka baada ya selemani mwalimu kufunga bao la kusawazisha
Sports 101 0
Vibe la yanga goli la selemani mwalimuuuu 0:16
Vibe la yanga goli la selemani mwalimuuuu
Sports 233 0
You've reached the end

Comments 40

Sign in to join the conversation

Sign in
R
ross.woodward 5 days, 7 hours ago

We nawe ushapewa posho kaa kimya

A
aliciabloom16 5 days, 13 hours ago

Sasa mkutano si ulisha fanyika Na Mwenyekiti alitangaza watu wake 7 swali la msingi lini walianza utendaji katika nafasi zao?? Ili tujue ule mkutano ulikuwa na faida

R
rael.novaes 5 days, 12 hours ago

Ila njaaa mbaya sana huyu jamaa hadi huruma yani yeye huwa anaenda pale penye pesa

N
nadiaaether4 5 days, 13 hours ago

Professor Mambo hayaendi kwa pupa tusubiri mda ukifika utafanyika mkutano hiyo katiba itasomwa

joseph_guerrero
joseph_guerrero 5 days, 13 hours ago

Sasa kama katiba ya Simba unayo si ukachukue M5 mbona mambo yanakuwa mengi

B
beth_burton 5 days, 12 hours ago

Kweli mwaka huu kila mtu atachanganyikiwa jwa wakati wake

N
nicholas_smith 5 days, 11 hours ago

Leo nAonA visingura vimekupanda kichwani

R
raagini_dhar 5 days, 13 hours ago

Gb ushakua mwana alakati wa kutetea mangungu kumbuka mkutano uriiaha bila ya ivyo vifungu ulivyo soma wana chama waja pitisha

R
robin_eaton 5 days, 13 hours ago

GB 64 uwa nakuamini. Lakini ktk hilio lauyojamaa. Aunahaja yakutokwa povu. Km alichouliza jamaa. Km kipoo nayey kasema atatowa milio 5. Kumfunga mdomo jamaa aonyeshewetu ivo vinguu. Kwanin utokwepovu nawakati inshundogotu iyoo tumuonyeshe kishayeye atoweiyo milio 5. Ajibiewe kwahojatu. Simna nguvu 1.

B
bradley.page 5 days, 13 hours ago

Huyu jamaa anadhani sheria ni hadithi za kufikirika, vifungu vyote alivyonukuu havimpi nguvu yoyote anayoitetea. Nani ataongoza bodi, au ukomo wa uongozi kashindwa kutafsiri ikiwemo wawekezaji. Lkn pia sijui kwanini kauita upande uliopo sasa ni ukoloni inasikitisha sana kuwa influencers sasa wamekuwa makomando wa mtandaoni. Hivi kwa mfano mara serikali itakaporuhusu katiba mpya je mara itakapopatikana ndo serikali itakuwa haipo automatically? kuna kipindi cha mchakato,kuanza kwa matumizi na kuangalia kanuni. kwa Simba hiki ni kipindi cha mpito na kama bodi ime expire basi hata uhai wa mwenyekiti ume expire mpaka uchaguzi mpya.

tracey_ramos
tracey_ramos 5 days, 14 hours ago

Unaingilia kazi isiyokuwa yako hiyo ni kazi ya wanasheria kaka lakini kwa kuwa ni njaa inakusumbua kazana tu😂

C
crystal.johnson 5 days, 11 hours ago

Wewe hovyo kabisa, kwanza wingi ni kuanzia 2, hiyo tatu mpaka tano mnaitoa wapi,

A
angela_rodriguez 5 days, 10 hours ago

SIMBA wasiwe na Miemko. Simba ni Timu Bora Sana na kubwa. Watu wenye Elimu ya Uongozi. Maendeleo hayataki Wababaishaji kama G64..na Kasugu.

A
andrew_aguilar 5 days, 11 hours ago

Sio lazima wawe 3 hata akipatikana mmoja anatosha. Sasa wewe unatakaje

M
meghana_bobal 5 days, 14 hours ago

Sasa mc Gara b unajifananisha naye,halafu wewe Simba ni ya watu maalum.halafu unataka watu wakufuate wewe tu.

M
maria_evans 5 days, 8 hours ago

14:08

M
mandy_butler 5 days, 8 hours ago

Muongo wewe sisi tunakumbuka siku meitisha waandishi mukisema mangungu mitanotena

steven.gonzalez
steven.gonzalez 5 days, 13 hours ago

Weye muongo usijifanye unaipenda simba weye mnafik na tamaa njaa inakusumbua tushakujua wewe na wenzako . GB nakwambia badilika mnafik siku zote hasimami sehemu moja hapo zamani tulikuheshimu sana ila kwa. sasa tunakuona huna maana wewe si mpenzi wa simba wewe ni msaliti wa simba ile albadiri imekupata. Ushauri badilika sio kila kitu wewe ujifanye unajua

mariacecíliaalbuquerque427
mariacecíliaalbuquerque427 5 days, 12 hours ago

YANGA BINGWA BINGWA TENA mwakani TENA🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤

H
hans-heinrich.segebahn 5 days, 10 hours ago

JIBU HOJA WACHA POROJO.

You've reached the end
  • Home
  • For You
  • Search
  • Sign In