BlunderStories Season 1 Episode 6 Follow Izkonka On Socials: Instagram: https://www.instagram.com/izkonka?igsi=enB3aThjMHpuN2E1&utm_source=qr Tiktok: https://www.tiktok.com/@izkonka?_r=1&_t=ZS-99OOiAZIKI8 Facebook: https://www.facebook.com/share/1EePrDReen/?mibextid=wwXIfr Snapchat: https://www.snapchat.com/add/izkonka?share_id=Gn6RG4zSSO2KQee38fEuYQ&locale=en_US Tuma Story Hapa: [email protected] Support Nachtor: Lipa No Voda: 355871504 - NACHTOR MOVIES NMB: 30710066702 - ELISAFI ELISAFI
ADVERTISEMENT
Me nilichojifunza kingine ukiachana na kuwadharau wazazi pia wadada tusiishi na wanaume bila ya ndoa ety ty kwsbb umemzalia🙌🏽 kuna namna unakuwa unakosa haki zako mambo kama hayo yakitokea😢 kwsbb unapoishi na mtu kuna muda mapenzi yanapungua au kuisha kbs kinachowaunganisha ni nidhamu na ndoa tu sasa kama hamjaoana unafikir kuna nn apo kama sio kukimbiwa🖤
Hata like moja tu inatosha
Konka napenda unavyovaa uhusika wa mtu 😂😂❤
Safi kaka upo on time Wa kwanza mm naombeni like zangu
Nimewaiiiii😂😂😂 0:11
Nilichojifunza hapa Furaha ya mama ni sehemu ya baraka katika maisha yetu, ila huzuni au chozi la mama ni laana inayotembea mpaka aseme basii Hivyo sisi wanawake tuwe na masikio mama ni Sehemu ya Mungu duniani
Kaka tupitishe kwenye recap kidg tumikumic. Kinoma
KAZI NZUURI SANAA HII LAKIN TU MIXIE #BLUNDERS NA #ECHOSTORY BROOOOW🤝🤝🤝🤝🤝🤝
Nazingatia sana hapo kwenye heeyyy nakubali sana.
Alf konka wewe ndio mambo yako hayo yakuinamisha WATu 😂😂😂😂😂
Wa 77 leo jaman naomben like
❤
Nimewahi naombeni like zangu❤😂😂🎉
Watu mnawah jmn khaa 😂
Ila ww kaka umenichekesha et wakifima sehem anafanya hv 😂😂😂😂🙌
KONKA UNAHADITHIA KAMA ULIKUWEPO KWELI 😅😅😅
Wa kwanza
Mi kwa kweli nimejufunza sana kutulia sio kwaajili ya wazazi wangu ila nikwaajili ya heshima yangu pia
Kwa kweli jamani wazazi ndio kila kitu tujitahindi sana kuomba msamaha kwa wazazi na tuwe sehem ya tabasamu kwao na sio uzuni ❤
Kama mama yangu anavopenda kututambulisha kwa watu utasikia binti nzangu hawa ❤nampenda sana mama yangu na vile katulea kwa shida bila baba