MZINGA: Yanga kibabe sana CAF
Tafadhali Subscribe
ADVERTISEMENT
Comments 16
diego_almeida:
Goli la aziz ki wa yanga dhidi ya club africaine ya Tunisia…
More Like This
1:18
⚽️Morgan Rogers with Opening Goal against Arsenal to send Chelsea Fans wild 😝
Sports
4.3k
0
1:40
Highlights: Porto vs Manchester City | UEFA Champions League MD1
Sports
3.5k
56
0:15
Who will Win the Biggest Match? #barcelona #realmadrid #worldcup #spain #brazil #championsleague
Sports
25.7k
61
1:19
Who can Escape the Zombies but the fence gets really high💀 @bob_reese @cobytatum
Sports
24.9k
100
0:29
😆😆 #roykeane #mufc #manutd
Sports
669
36
4:01
Brilliant Berta Brace! 💥 | Lille 2-3 Real Betis | UEFA Champions League Highlights
Sports
789
0
9:00
FC Porto 0-2 Manchester City | Champions League 26/27 Match Highlights
Sports
2.7k
99
1:05
The Assist Scientists Still Can’t Explain.
Sports
6.7k
21
You've reached the end
Goli la aziz ki wa yanga dhidi ya club africaine ya Tunisia ndio goli bora kwa kutangazwa kwa lugha ya kiswahili kuliko magoli mengine yote yaliotangazwa barani afrika, na mtangazaji alikuwa mwamba huyu KILWA FUINEST DR. GHARIB MZINGA
Kwenye kimataifa unafanya vizuri sana kaka shikilia hapohapo
Makirikiri kaz wanayo
🎉🎉
Akhsante sana Mtani wangu kwa kutupa utamu wa mpira wa miguu. MUNGU akutunze.
sawa kaka
Kaka unajua xna kutangaza mpira kama ile dabi ya Yanga na simba (nendeni mkayaambie mataifa yote kuwa hii ni dabi ya kariakoo) acha kabisaaa Mzinga ulitisha xna
Swadakta brother wangu
🎉🎉🎉nakubali mwamba
Sawaa
🎉🎉
Kaka una jua
Gaborone united tunaenda Kwa kuwahexhimu ila nawahakikixhia yanga anaenda kuscore ila game
🎉
Huruma sio malezi. KMKM Wakaze tuuu
Kila mwaka timu kutoka Zanzibar huwa zinapangiwa timu ngumu hata hatua ya awali tofauti na timu kutoka Tanganyika hii isijekuwa ni mipango ya makusudi inayopangwa ili timu za Zanzibar zitolewe mapema !!!!