4/10 hii siyo nne chini ya kumi ni nne juu ya kumi
A
amanda.matthews1 week ago
.. huo ubora mnaupima kwa lipi sasa, au kwa kale ka ubora wa simba waliounesha juzi?.....sasa subirini kwani ligi si ndio imeanza !? ....tutajaona, Sisi ni people!...nyie wasifieni tu, wenyewe mtakaa hapo tena kumkubali Yanga, makolo wote nyie
M
meganmccarthy2681 week ago
Hans unajuwa sana kuliko hao hawajui kitu
N
nehaganesh9761 week ago
Mwandishi kolo yaanikingesi fc😢😢😢
taylorsmith9241 week ago
Jamani kweli lakini mechi moja munanjaji untu ????
ekani_goswami1 week ago
Hans huyu siku hizi anatumia sigar😮😮😮
irene.humphries1 week ago
Mtafuteni miraji maramoja hapo Hao wengine watoeni
L
leonard_bender1 week ago
Mbio ndo zinakuchanganya za Libase?
H
harryjames2116 days, 15 hours ago
Mtapata tabu sana na yanga ndio llivyo mtaumia sanatu
M
manyadaylight51 week ago
Hans unajishushia hadhi bro! Simba ilochapwa na Yanga ndio iwe bora kuliko Yanga!?
J
john.jensen1 week ago
poor management ya huyu dada yaani kati ya dakika 51, 45 wanazungumzia yanga hizo timu zingine zitapewa dakika ngap POOR POOR TIME MANAGEMENT
C
christina.lewis1 week ago
Magongowaz wamepanik hao hans kumsifia queye...kweny timu yenu hakuna kama gueye huo ndio ukwel ata mlie ila ukwel utasemwa 😂😂😂
B
brittany.gutierrez1 week ago
Unajua nyinyi wachambuzi hamuelewi kitu kabisa tambueni kwamba kila namba inatakiwa kuwa 3 kwasababu kunamashindano mengi mechi nyingi kwaiyo lazima uwe na wachezaji wengi wazuri
S
sabrina_king1 week ago
Yanga inakosa ball dribbler kama Pakome.
francisca_gonzález1 week ago
Me kwangu Hansi Raphael hajawai kuwa bora sjui wanaomsifia huwa wanaangalia nn,, but ukisema kwa CROWN yeye ndo bora hapo ntakubal lakn ukicompea na media mingine me simuon kabisa,,
A
amanda.knight6 days, 17 hours ago
Hii simba ni mbovu kuliko ya misimu yote. Ni swala la Muda tu mtatafutana eti tatizo liko wapi, katikba au ni nani. Muda ni hakimu mzuri sana. Kibovu ni kibovu tu.
J
juliapope5951 week ago
Umemwona Gueye kwa sababu anacheza na timu mbovu mbona hakuonekana siku ya simba na yanga ?waandishi hamna kitu nyie
M
maríacristina_deanda1 week ago
Kwamfano angalia pale simba ikitokea akiumia lebase gueyi simba haitakua sawa lakini kama mnavyo ichambua yanga utaona ikitoke pita shalulile amekosekana mankoba anamachaguo mengi yupo ture yupo sele mwalim wapo wengi
Hans laphael weee noma sana . Kaz nzur
Libase ni Bora kwa timu mbovuuuu😂😂😂