HorrorStories Season 1 Episode 7 Follow Izkonka On Socials: Instagram: https://www.instagram.com/izkonka?igsi=enB3aThjMHpuN2E1&utm_source=qr Tiktok: https://www.tiktok.com/@izkonka?_r=1&_t=ZS-99OOiAZIKI8 Facebook: https://www.facebook.com/share/1EePrDReen/?mibextid=wwXIfr Snapchat: https://www.snapchat.com/add/izkonka?share_id=Gn6RG4zSSO2KQee38fEuYQ&locale=en_US Tuma Story Hapa: [email protected] Support Nachtor: Lipa No Voda: 355871504 - NACHTOR MOVIES NMB: 30710066702 - ELISAFI ELISAFI
ADVERTISEMENT
WhatsApp Channel: /channel/0029Vb7xt3dCRs1uGs3bjl3i
Wa kwanza na Leo 😂🎉🎉🎉🎉
Bila app ya Quran kwenye simu sijui angefanyaje
𝙒𝙖𝙣𝙜𝙖𝙥𝙞𝙞 𝙩𝙪𝙣𝙖𝙖𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙖 𝙨𝙖𝙖 5 𝙪𝙨𝙠𝙪
Mie mjomba angu alipanda gari saa nane usiku akidhani ni alfajiri mwezi ulikuwa mdando alipofika road akapanda gari kabisa hadi akafika mjini kwerekwe cha ajabu alivyofika gari hakuiyona tena alishangaa sana alipouliza watu pale sokoni cha ajabu nao walishangaa wakamwambia mbn mda bado ndio kwanza saa tisa kwenda saa kumi aligopa sana maana kwa mda huo inakuwa ndo anajiandaa ili kuwahi gari la kwanza cha ajabu yeye ndo amefika mjini lakini hakudhurika kwa lolote Mungu mwema...🙏🏼
Ambao tunaangalia mida ya usiku na hutuogope ngonga like
In every situation we are passing through we have to put God first😢🤲
Nzuri sana😂😂😂 ila me natal ilo box la la pop coin😂🎉
Jamani nawapenda naombeni like zangu❤❤❤
napenda tu unavyoshtukaga😮😂😂🎉❤❤
Hivi lini ndafikisha like 12 kwenye comment yangu
Konka siku nikiwatumia story yangu lazma utoe chozi sema nakosa muda wa kurekod voice
Nikiingia YouTube afu nione mmepost aisee nafurahi
Saa 7 dakika 9 noma🔥🔥🔥
Hii issue IPO sana hasa shamba la paje zaman ila sahv magar mengi
Woooh yan chap chap had raha hatukai kinyonge mnatuchangamsha 🎉🎉
Napenda sana unavyo vaa unapendeza❤🎉
Watano Leo ila konka
Jamaa unafanya kama abel mutua some one in kenya
kazi nzuri kakaaa❤❤