#dunia #dunia47 #familia #biggboss #clamvevo #babaasma
Sign in to join the conversation
Assalaam ghalaykum tumsawalieni mtume Muhammad sallallahu alayhi wasallam waislamu wote tunao fatilia dunia
Acha Tamaa baba Asma una halibu kazi broo unatusumbua mashabik zako anhaaa
Kuna namna dunia wameanza kulewa sifaaaa😂😂😂😂
Wangapi wanachukizwa na tabia ya leyla kama mimi jmn tujuane kwa like
Haya maludio mbona shida baba asma unatamaa sana huna msimamo na kaz yako unasumbua mashabiki zako mbona hivo lizika na unacho kipata
Huyu sio baba asmaa jmn nyie mnao jimaliza Ila kafanya vzr tuu kutupostia Ila syo baba Asma😂😂😂
wangap wamegundua hii sio chanel official ya baba asma😢😢
Mimi hata sijajisumbua kwenda kuangalia uko walipo SEMA Sina uwo muda
Umechelewa baba asma asma katutumia dunia toka juz😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Jamani mimba shikamoo kamaunaamini gonga laik
Anaye ona kama Dada wa Vailet anafanana Hamisa mobeto Anipe Like 👌
Wanao sema vai n mzuri mnoo like apa tujuane
jamani mbona amumkumbuki mchungaji amani aliekua anatoka na cindy yuko wapii hii move nashindwa kuelewaa
Alaf mbona tumeitazama dunia jmn ayasimaludio mh 😂😂😂
NDO mtu Kabeba Hadi picha ya Asma jamn 😂😂
Tulisha tizama endeleeni na ujinga wenu
Jamani muwe mnatuletea YouTube kama sisi wenye tuko gulf hatuna tv kuangalia vipindi tunavitazama tu kwenye simu, mtuangalie na sisi jamani😢
Leila nilikupenda mwanzo ila now sikupendi vile unamfanyia manyanya
Mbn mwaludia ten hii video nili hyn week iliy pit ilikuwa Aina uquelity😢😢
Mfanyakazi wa Vai ana kinyashi frani ivi kime nibambaa ❤