Ila simba wasipuuze hayo maneno hao wanajua sana kucheza mpira nje ya uwanja viongozi na wachezaji msiingie kichwa kichwa wala kwenda kwa record na hayo maneno.
micheal_santiago3Β days, 12Β hours ago
Ayo sasa ni matusi na tutawanyoosha lazma tuwafundishe adabu
irene.humphries2Β days, 20Β hours ago
Wngekuwa wanajua ubingwa wa yanga ni wa mchongo wasingeyaongea hayo
J
justin_brown3Β days, 17Β hours ago
Hawa wanetutibua maan hawakumbuki jwane Galax walivyo kuja wakasema simba ilipe zile Tano kwa yanga kwanza tukawafunga 6 bila tukalipa Tano na nyongeza
R
ray_lewis3Β days, 10Β hours ago
Hicho si kigezo
abigailbrown4823Β days, 16Β hours ago
Simba fanyeni kweli waache zalau
M
mandy_butler3Β days, 10Β hours ago
Mpira haupimwi kwa udogo wake
D
dimitrios_bonbach3Β days, 10Β hours ago
Inaonekana hawaijui simba haoπππ
H
hortensepoirier4532Β days, 10Β hours ago
Simba ni time kubwa sana balani African haogopi kitamkuta chamtema kuni.
scottarc942Β days, 21Β hours ago
Kaka natunza maneno yako
C
charles_renard2Β days, 3Β hours ago
Friji bovu mpira haulinganishwi hivyo wewe waambie wachezaji wa simba wakapambane kufa na kupona. Kumbuka wakati simba anamfunga National kwa mkapa ilikuwa huwezi kuwalinganisha hata kidogo
C
charles_renard3Β days, 5Β hours ago
Friji bovu ee,,watu watapigika huwezi kuamini mnyama anahadira we hujui