DADA WA KAZI – MOVIE YA KUSISIMUA NA KUGUSA HISIA Karibu kutazama movie ya Dada wa Kazi, simulizi yenye mafunzo makubwa kuhusu maisha na mateso wanayopitia baadhi ya dada wa kazi katika jamii. Movie hii inaonyesha changamoto, unyanyasaji, dharau, na mapambano wanayokutana nayo wakiwa kazini huku wakijitahidi kutafuta maisha bora. Je, dada wa kazi atafanikiwa kuvumilia mateso hayo au atapata haki yake? Tazama hadi mwisho ujifunze somo muhimu kuhusu upendo, utu, na haki za binadamu. Usisahau: ✅ Like ✅ Comment ✅ Share ✅ Subscribe kwa movie na simulizi zaidi zenye mafunzo. #DadaWaKazi #MovieYaKiswahili #BongoMovie #DramaYaKusisimua #MaishaYaDadaWaKazi #SwahiliMovie #MovieMpya #MafunzoYaMaisha #TanzaniaMovies #Drama #mtotowaajabu #MamaWakambo # ClamVevo #biggboss #dontatv #bollywood #bintiyangu #ndoa #lovemeagain #dunia #kiparabrand #babajoan #kpwaaquino #babygirl #bhojpuri #baba #babyboy #babysuputv
ADVERTISEMENT
Wangapi wanampongeza Leticia kwa kumuokoa bosi wake weka like
Dada wa kazi leo umenifrahisha, chukua mauwa kutoka Kenya 💐💐💐💐💐💐💐💐 nikupe nduru, 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Km una Amini Mungu ni mwema kwetu basi ngoga like sema Amina Amina ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Wakwanza kutoka kenyaaa likes jamni🎉🎉🎉🎉🎉
Leticia chukua maua yako🎉🎉🎉🎉nimeipenda hiyo😂😂😂😂😂.... niko apa kuwakilisha team strong❤❤❤❤ kazi nzuri kwa Ben na team yote
Ukitenda mabaya jannet. Unajitendea Mwenyewe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kanoni leta number nikuekee ya soda ,kwa kumpinga tammi😂😂😂😂😂😂asante sana😅
Nimeipend hiyo letsya❤❤❤❤❤ maua yako
Wa kumi na moja kutoka kenya 🇰🇪 🇰🇪
Nko apa kutoka kenya nipewe likes ata moja jameni ❤❤🎉🎉
Like za leticia❤❤😂😂😂
Team mdada wa kzi mpoo🎉🎉🎉🎉 chukua mauw yko
Kama unampenda liticia like hapa
ila letisia jamani😂😂😂😂😂😂
Kumekucha naomba like za retisia wapedwa😂
Wakwanza leo nipe like
We leticia mungu akubariki
Leticia u need what 😂😂
naomba unifundishe kindege 😂😂😂😂
Waah hii nayo ni shuhuli ❤❤❤❤😢😢🎉🎉🎉