©TUNAKUPA HABARI ZA UHAKIKA KUTOKA VYANZO VYA KUAMINIKA --------------------------------------------------------------------------------- JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM APA: REPORT TO US If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest. COPYRIGHT VIOLATION For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright, email us [email protected] Welcome to REAL in the right place, by accessing Entertainment, Fashion and Sports news from within and outside the borders of Tanzania, our goal is to provide you with reliable and accurate information. Please click the SUBSCRIBE button to become a family member of this channel
ADVERTISEMENT
Hongera sana yanga hongera wachezaji wetu mungu awatangulie mrudi salam
Tumeimba pamoja jamani congratulations yanga.
Uwanja mbovu sana. Ngojea waje Azam complex au Amani complex tutawafunga si chini ya goli 3. Yanga Bingwa 🏆
Hatari sanaaa,,,hata me nimeimbaa😂😂😂
😂😂😂😂😂yanga mwaaaaa🎉🎉
Yanga bingwa 💚💛💚🙏👍
REFA AMEWABEBA SANA GABORONE KWAKWELU HUYOREFA HOVYO TU
Asant baba zetu mpovizuri
Wanabahati walijua ndio mana wameloga
Asante Mungu 🎉🎉
Nimependa sana
Tunawasubiria nyumbani tuwape kipigo cha mama mkanye mwanao😂😂😂😂😂naipenda sana hiyo
Gaboron.waliloga sana.wazee wakupaki basi.sele.mitano tena😅😅😅
Yanga bingwa
Weziiiiiiiiii yangaaaaaaaa kazi yenu wezeni wasajiri nyie muibe hayoooooo
Dah kadege chauya kitambo xana mze kadege nlikua nakuhulizia kinyama xana
Lakini kocha aache kubet mana wachezaji anao.
Hii yanga ya mwaka huu wapizani msijadili mpira uliyo pita yanga hii haishi mpaka iiishe
Yanga sukariii
Gaborone wamekaza sanaa