0:00
4:53
4:53

YANGA YATUA KIMAFIA AIRPORT INJINIA HERSI AONGOZA MSAFARA, KOCHA AUONA UBINGWA WA CAF MAPEMA, KIGOGO

Sports

‎Kikosi cha Klabu ya Yanga kimewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), jijini Dar es Salaam, saa nane usiku wa kuamkia leo, Septemba 7, 2026, kikitokea Botswana, ambako kililazimisha sare ya bao 1-1 dhidi ya Gaborone United katika mechi ya kwanza hatua ya awali Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2026/27. ‎Kocha Mkuu wa klabu hiyo, Manqoba Mngqithi amesema kikosi chake kinaendelea kuimarika na ana matumaini ya kuiongoza timu hiyo kufuzu hatua inayofuata. Aidha, Mngqithi amesisitiza kuwa lengo kuu la Yanga msimu huu ni kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

ADVERTISEMENT
Comments 0 Be the first to comment