0:00
14:08
14:08

GETO LA KUSHEA || EPISODE09

Comedy

🔥GHETTO LA KUSHEA – EPISODE 09 | “HAKAMATWI MTU HAPA”🔥 Musa anajaribu kuficha siri zake, lakini mambo yanazidi kuharibika baada ya Sasha kugundua kilichokuwa kinaendelea. Nuru anakasirika, huku Musa, Jose na Kini wakijikuta kwenye vurugu nyingine—na mwisho kabisa, kitu muhimu zaidi kinapotea! 😂🔥 Usikose Episode 10! 😂🔥 🎬 A HOMES FILM Production ✍🏾 Written by Nyaki © 2026 HOMES FILM

ADVERTISEMENT
Comments 0 Be the first to comment