0:00
2:20
2:20

KILICHOTOKEA UWANJANI BAADA YA REFA KUMALIZA MPIRA YANGA 2-1 GABORONE UNITED LIGI YA MABINGWA AFRIKA

Sports

Hivi ndivyo wachezaji wa Gaborone United walivyowatakia heri wachezaji wa Yanga baada ya kufuzu hatua ya pili Ligi ya Mabingwa Afrika. ‎Yanga imefuzu hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu wa 2026/27 baada ya kuifunga Gaborone United ya Botswana mabao 2-1 katika mechi ya marudiano iliyochezwa Septemba 12, 2026 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. ‎ ‎Ushindi huo umeifanya Yanga kufuzu kwa jumla ya mabao 3-2, baada ya awali kutoka sare ya bao 1-1 katika mechi ya kwanza iliyochezwa ugenini. #samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

ADVERTISEMENT
Comments 0 Be the first to comment