Kipofu wa Kike (Mtoto wa Kitajiri): Yupo kwenye mahusiano na mchumba mwenye tabia chafu na matendo ya hovyo. Mtaani anakutana na kijana muhuni mwenye roho ya kipekee—mwenye kupenda haki, sheria na upendo wa dhati. Je, hisia zao zitafanya waingie kwenye mahusiano? Kipofu wa Kiume (Bosi Mwenye Uwezo): Licha ya kuwa na uwezo mkubwa kiuchumi, mke wake anamsaliti kwa kutoka kimapenzi na shemeji yake wa tumbo moja—kijana mdogo kabisa mwenye umri wa miaka 18! Blacklist & Mama Mkubwa: Mateso na kero za kumguza mama mkubwa aliyetekwa na roho mbaya zinamfanya Blacklist achoke kabisa na kuanza kumtendea matendo magumu. Usaliti, mapenzi na migogoro mizito vinaendelea kufukuta! 🔔 SUBSCRIBE, LIKE na COMMENT kutuambia mtazamo wako! Usiache kugusa alama ya kengele ili upate taarifa kila episode mpya inapowekwa. #TheHardWay #TheHardWayEpisode2 #TamthiliaMpya #SwahiliDrama #BongoMovies #FilamuZaKiswahili #YouTubeSeries #SwahiliSeries #UgoniNaUsaliti #BongoDrama
ADVERTISEMENT