HorrorStories Season 1 Episode 9 Follow Izkonka On Socials: Instagram: https://www.instagram.com/izkonka?igsi=enB3aThjMHpuN2E1&utm_source=qr Tiktok: https://www.tiktok.com/@izkonka?_r=1&_t=ZS-99OOiAZIKI8 Facebook: https://www.facebook.com/share/1EePrDReen/?mibextid=wwXIfr Snapchat: https://www.snapchat.com/add/izkonka?share_id=Gn6RG4zSSO2KQee38fEuYQ&locale=en_US Tuma Story Hapa: [email protected] Support Nachtor: Lipa No Voda: 355871504 - NACHTOR MOVIES NMB: 30710066702 - ELISAFI ELISAFI
ADVERTISEMENT
wa kwanza leooooo
Dah Melia sana nilivyo Sikia Jina LA Ado 😢😢 Man nilikua na mdogo wangu waku nifatia mimi Alifariki Sasa ni miaka mi 3 man Alifariki ..........😢😢😢😢
Hv nyie wanakijij wa NACHTOR mnalala kwa mwenyekiti ama yan imepostiwa ndani ya dakika 10 tyu Ila comment zishazid wanakijij
Ngoja ni download ntaiskiza usiku ndio raha😂❤
Jaman nawapenda wanakijiji wenzangu❤🎉🎉🎉 wanachtor. Hiiii👋
UNACHO KUTANA NACHO HEEEEY
0:23 nimechelewa dakik 13 nd mshajaa kweli Kijiji kipo makin😅😅
Ili tuwez kujikusanya tuuweeee😯 kijiji 😂😂😂😂🙌
The best storyteller 🔥🙌
Nimekutumia voice Ila kimya sana au ndio story nyingi mwenyekiti zimekuzonga😂
imenibidi nifungue account nyingi za YouTube ili tu niweze kukuongezea subscribers...more love to kijiji cha nachtor
Me nacheka Konka anavowaza et Mbona kanipa hii hera sijamuomba?? Aaah! Niwakishuaaaa😂😂
Unachokutana nacho heeeeeeeeeey 😂🤣😁🙌🙌
Kunamtu anawaza hiyo ya kufanya imkute yeye😂😂😂utakufa vby wewe😂
Yani Mimi izi story napenda kuziangalia usiku na popcorn mbele yangu Zina ni fikia mchana ila kuangalia mpaka usiku ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ sema nimeimisi E7Bits😢😢
Wa kwanza mimi wanakijiji nipeni like zangu🎉
Na mimi like jaman Leo nkewahi
Like kwangu wanacoment nimekuwa wa 221😂😂🎉🎉❤
Kama unajuwa kuwa mungu ni kila kitu ngonga like 🎉
Nikajua kuwa mimi ndo wakwanza kumbe wanakijiji mmewasili😅❤