EchoStories Season 1 Episode 16 Follow Izkonka On Socials: Instagram: https://www.instagram.com/izkonka?igsi=enB3aThjMHpuN2E1&utm_source=qr Tiktok: https://www.tiktok.com/@izkonka?_r=1&_t=ZS-99OOiAZIKI8 Facebook: https://www.facebook.com/share/1EePrDReen/?mibextid=wwXIfr Snapchat: https://www.snapchat.com/add/izkonka?share_id=Gn6RG4zSSO2KQee38fEuYQ&locale=en_US Tuma Story Hapa: [email protected] Support Nachtor: Lipa No Voda: 355871504 - NACHTOR MOVIES NMB: 30710066702 - ELISAFI ELISAFI
ADVERTISEMENT
Leo wakwanza jmn😂
Heeeeey 0:25 hapo pananikosha kinoma mwenyekiti 😂😂
Toka nianze kukufuatilia sijapata Like hata moja
Inaonekan anipha alikua anaishi chini ya bahari na ndo man hata huo uwanja wa ndege ulikua haujulikani na kingine dua ndio iliomsaidia
🎉🎉kiukwel wananachtor sikihiz tunanawiri maana kila siku kijijichetu kinatuhudumia Mungu aendelee kuwatunza ww na timuyako nzima❤
Chapa dua ,sadaka ,kufunga Chapa dua ,sadaka ,kufunga Chapa dua ,sadaka,kufunga
Oyaa wazee chai na coffee inapatikana apa na popcorn 🍿 pia zipo karibuni sana❤
Unacho kutana nacho heyiiiiiiiiiiiìiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kama we ni mpenzi wa stori za kipeke kama hizi zenye maudhui kama haya ya kusisimua basiii hapa nachtor ndio sehemu sahihi hakikisha tayari umelike hii video umesubscribe kwenye channel lakini pia usisahau kuacha maoni yako baada ya kumaliza hii stori mzee wa kazi na kubwa zaidi usisahau kushare kwa ndugu jamaa na marafiki ambao pia wanapenda stori kama hizi ili tuweze kujikusanya tuwe kijiji😂😂😂 sasaaaaa ..........
Yaaa rabii tulinde na majanga kma hyo 🥹🥹🥹🥹hii story nimenigusa sna leo ni mara yangu ya kwanza kuweka comment
Jaman kwenye kila jambo kushirikisha watu wakaribu ni muhimu pole dad yet mungu akusimamie inshaallah🤲
Tangiaa nianze kumshabikia izkonka sijawahi patalike☑️🇹🇿🇹🇿
Waoooh wapilii leo😅😅😅
Unacho kutana nacho eeh hii🎉🎉
Muwe mnasoma comment tu tuna mengi ya kuongea
Wanakijiji mnawahi saana kwenye kikao oyeeeeeeee❤❤❤❤
Ni huzun san lkin kitu kizur anafamilia inayomjal san ni familia chache zenye umoja na upendo kama hii mpak nimelia jamn
Ijumaa qareeem ndugu zangu❤❤❤
Yan watu wanapitia matukio ambay ww ukija kusikia unaon kama n movie🙌🙌Mungu atuepushe
Saiv ni back to back bandika bandua kila siku noma sana