unajua sana uchambuzi hadi kero unajua mpaka unachosha kaka hongera sana
J
johnaura451Β month ago
Ujue nimetoka kumsikiliza mchambuzi Mmoja hivi anaropoka ety simba hakuna mchezaji aliyeitwa kwenye team za taifa anasema ety hawana viwango Sasa mm nikawa najiuliza ni mchezaji Gani pale yanga anaweza itwa kwenye mataifa ambayo wachezaji wa Simba wanatoka mfano huyo Yao kwasi mbn hajaitwa ,max lakin limeshapokea huko hela linakuja kuturopokea huku Mfano mzuri tuu afcon iliyoisha aliitwa lamine camala pale Senegal niambie alicheza match Gani hata sekunde 1 na katoka kuwa kiungo Bora wa Africa Kwa wachezaji wa ndani
Hongera Kabwe kweli wewe unaufahamu mpira HONGERA sana!!!!!!!!
Unajua sana kakaππππ
unajua sana uchambuzi hadi kero unajua mpaka unachosha kaka hongera sana
Ujue nimetoka kumsikiliza mchambuzi Mmoja hivi anaropoka ety simba hakuna mchezaji aliyeitwa kwenye team za taifa anasema ety hawana viwango Sasa mm nikawa najiuliza ni mchezaji Gani pale yanga anaweza itwa kwenye mataifa ambayo wachezaji wa Simba wanatoka mfano huyo Yao kwasi mbn hajaitwa ,max lakin limeshapokea huko hela linakuja kuturopokea huku Mfano mzuri tuu afcon iliyoisha aliitwa lamine camala pale Senegal niambie alicheza match Gani hata sekunde 1 na katoka kuwa kiungo Bora wa Africa Kwa wachezaji wa ndani
Facts from previous to finite, big up kaka.
Kabwe kichwa chako kinafanya kazi kompyuta mungu akusaidie update nafasi kwenye ligi yetu kwa masirahi ya Moira wetu
Kaka uko vizuri sana na ndo maana nakufuatilia
Napenda sana kuzikiliza uchambuzi wako brooo nainjoi sana
Sikia hiyo kuhusu wachezaji wa nje wa simba kutokwenda nchi zao
Wanaleta mjadala wakati wao ndy wanawaiba wachezaji wa Simba. Sasa nani mwenye wachezaji bora?
Kweli kaka
Yamga sc inawacjezaji 10+ wa Tanzania kuanzia Kikosi cha wakubwa.kikosi cha U23 na U20.Timu zingine vipi???
Broo nakukubali sn,
Umeongea fact brooooππππππ
Good good
broo wewe ni kichwa Mungu akulinde
Ukosahii
Umeeleweka mkuu sisi Wana simba hatuna wasiwasi na wachezaji wetu wako vizuri sana ila mataifa Yao yako juu sana kimpira
Kabwe kichwa kipara akili mingi, jamaa anaujua mpira na anajua sana kuchambua katika hali ya kweli
Kaka unajua na unajua wee na Mzee wa data π₯ dosa nae nampa 60 aslm a