Β©TUNAKUPA HABARI ZA UHAKIKA KUTOKA VYANZO VYA KUAMINIKA --------------------------------------------------------------------------------- JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM APA: REPORT TO US If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest. COPYRIGHT VIOLATION For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright, email us [email protected] Welcome to REAL in the right place, by accessing Entertainment, Fashion and Sports news from within and outside the borders of Tanzania, our goal is to provide you with reliable and accurate information. Please click the SUBSCRIBE button to become a family member of this channel
ADVERTISEMENT
Chief chief x 4 mbona unatuvua nguo! pesa ipo bank jamaniiππ
mmeanza tena tumechoka Bana hata kwenye dilisha kubwa mlisema hivivi acheni uwongo
Mmeanza tena
Hawa wana wivu sana na Simba Fei ukienda Yanga utskuwa hujitambui. Acheni uongo mnamharibia Fei toto wakati ana mkataba. Acheni kumchonganisha mchezani aliyeongea ni Hance aliyeongea acheni uchochezi wenu
The production quality is amazing I enjoyed every second of it.
Chief Nzobane
Huna ata aibu lkn iko siku itaumbuka
Wahuni hawa na chombo chao cha habari
Yani hii chanel waongo kwel kwel sjapata kuona mara ngap hii mnaihusisha yanga na fei
Hyo midudu yote hiyo ni yanga hili mtangazaji yy likisikia hvo mitako iko waziii
Wa nini tena YANGA? mbona Aziz yupo na Aziz mmoja ugali sukari watatu
Hao ndio wachambuzi wa kienyeji bongo usajili ulishapita mnamdanganya nani hebu chambueni mvua ya elnino
Kwenye uchambuzi usilete mapenzi ufaikua mchambuzi
Salamba, sijui mmiliki ni wewe, sijui ni huyo Cisco, sijui! Kama wewe ndo mmiliki, niruhusiwe kutumia neno moja la Kiingereza "RECLAIM" ubora wa kituo wengi tulioujua miaka 2 iliyopita kurudi nyuma! Zalisha zalisha video tuliyoiona wakati wa usajili (na bado inaemdelea!) bila kujali ubora na usahihi wa taarifa, kuna mwisho! Ukweli (naweza ongeza na ubora) una hatua fupi na hutembea taratibu, lakini hufika mwisho wa safari na kujifunua!
Nakuchukia Sasa Salamba,sikupenfi
Ni kila mwaka mnachukuana na kuaminishana kwamba kasaini yangu kila mwaka na kila dirisha Huwa mnawaongopea watu kila siku. Punguzenj ushabiki ,achen uongoooo
Hana BOLI
Chesco na weweumeanza kupotea wewe na Salamba mwanzo mlikuwa munaaminika kuhusu taarifa zenu siku hizi munachakachuwa habari acheni uongo wenu Fiser yeye ni nani munamvimbisha kixhwa