MIRAJI|LIBASE AKIENDA YANGA NI ZAID YA DABI ILE YA GOLI 5|DOUMBIA MAANA YAKE UNAKULA HAPO HAPOπ€£
ADVERTISEMENT
Comments 71
caitlin_macdonald:
Miraji umenyooka sana βοΈπ
More Like This
14:53
SALAMBA- AVUJISHA KOCHA MPYA YANGA BAADA YA KIKOA CHA TIMU | MTAALAMU WA MIFUMO NA MBINU HATARIπβ οΈ
Sports
74
0
2:57:38
YANGA SC YAMTIMUA KOCHA MANQOBA/ SIMBA SC, YANGA SC, AZAM FC & SINGIDA BS ZATINGA MAKUNDI CAFCL & CC
Sports
383
0
0:16
Makundi yatakavyopangwa CAF CHAMPIONS LEAGUE
Sports
141
0
1:00
RATIBA KAMILI HATUA YA MAKUNDI CAFCL 2026/2027 #shorts #youtubeshorts #shortvideo #trendingshorts
Sports
136
0
18:22
MZINGA: Mjue krunoslav anayetajwa Yanga
Sports
650
0
0:31
MPANZU USO KWA USO NA ANKO NZALA, BAADA YA MECHI YA SIMBA LEO
Sports
1.0k
0
0:14
GOLI LA KALETSO DHIDI YA 15 DE AGOSTO #shorts #trending #viral
Sports
468
0
13:47
Simba SC 3-0 De Agosto | Highlights | CAF Champions League 25/10/2026
Sports
1.8k
0
You've reached the end
Miraji umenyooka sana βοΈπ
Nimekaa nimegundu miraji na libase wanafanana kwa umbaliiiπ π
Malamoja ni mmoja tyuuuu kaka tnz hiiii kaka chagamba
Chagamba & Miraji Mungu awape heri nawakubali familia π
Steve Baker huyooooooooπππ
Brother chagamba Fanya mpango umrete chisanojr aje kijiweni akutane na wanetu wakina miraji
Wow finally tumefikisha 100k subscribers
Hata mimi kuna jamaa hapo Nyegezi standi aliona na jezi ya mnyama akaniuliza vipi tarehe kumi nikamuuliza nani atamkaba Libasi jamaa akanywea.
Lakini si kwamba wanarubuniwa sema pesa anayokuwa anahitaji mchezaji kwingine wanaona hiyo thamani hana. Na wengine wanatumia nafasi hiyo kumchukuwa kama wanaona wanamhitaji.
Ila kw hizo siraha zako milaji zapemben unazo jivunia Moja TU ikipata pancha safar ndio baasi π
Huyu Miraji mwacheni tu!!!!!!!
Wanataka kumpoteza kama walivyompoteza Morris Abraham hawana lolote
πππ
Milaji ally kamwe amekusikia libase ni atomic ila mpanzu kila la heli
Yosso
Sijaelewa hapa,kwahiyo Libase anauwezo mkubwa kuliko Girimugisha ? Si yo kweli
Miraji , Mzee Masatu, Makawila and Chagamba, you'll go places π―
ππ finest online π
dumbia kwani analipwa kweliπ π π π wa tz hatukawiii kuzua π π π
Oyaaa weee Maramoja hakika Libasse ni Atomic ikiwaka mimea itakaukaππππππππππππππ na kwenda Yanga ni zaidi ya kupigwa zile tanoππππππππππππππ