GB 64 AIBUKIA SAKATA LA MO DEWJI KUM-BLOCK MANGUNGU
Simba
ADVERTISEMENT
Comments 94
frédérique_weiss:
Mangungu hayuko sawa na hajawah kuwa sawa..mangungu ni Hers…
More Like This
14:53
SALAMBA- AVUJISHA KOCHA MPYA YANGA BAADA YA KIKOA CHA TIMU | MTAALAMU WA MIFUMO NA MBINU HATARI🙌⚠️
Sports
74
0
2:57:38
YANGA SC YAMTIMUA KOCHA MANQOBA/ SIMBA SC, YANGA SC, AZAM FC & SINGIDA BS ZATINGA MAKUNDI CAFCL & CC
Sports
383
0
0:16
Makundi yatakavyopangwa CAF CHAMPIONS LEAGUE
Sports
141
0
1:00
RATIBA KAMILI HATUA YA MAKUNDI CAFCL 2026/2027 #shorts #youtubeshorts #shortvideo #trendingshorts
Sports
136
0
18:22
MZINGA: Mjue krunoslav anayetajwa Yanga
Sports
650
0
0:31
MPANZU USO KWA USO NA ANKO NZALA, BAADA YA MECHI YA SIMBA LEO
Sports
1.0k
0
0:14
GOLI LA KALETSO DHIDI YA 15 DE AGOSTO #shorts #trending #viral
Sports
468
0
13:47
Simba SC 3-0 De Agosto | Highlights | CAF Champions League 25/10/2026
Sports
1.8k
0
You've reached the end
Mangungu hayuko sawa na hajawah kuwa sawa..mangungu ni Hersi B
Sasa uyo mwenyekiti kwa sasa angetuacha sio mda wake huuu
Naaa wew wampa faida nani.
Huyooooo kisuguuuu msengeee
Huuu sio mda wavikao jaman huyo mwenyekiti mbona kama anashida
Sasa wewe Gb na Kisugu mnatifauti gani wote mda wengine lopolopo tu labda kwa vile amewai kuongea iyo ishu busara na wewe ungekaa kimya unavyoongea ndo mnazidi kukuza mambo😢
gb big time broo ,,,,,,,,usitoke kwenye reli🚉
Vikao vya nini bana, boli litembee mzee,,vikao vyakazi gani?
Kila simba inapotaka kucheza na yanga lazima simba ianzishe vurugu za viongozi mwisho wa siku yanga ansshinda kiulaini tu tunabakia kulia lia tu ...ufala kabisaaa
We mwanang kun muda jau sana👀
Correct 💯
Mangungu anatumika,,anataka kuvuruga na ww pia
Naona mnaingia kwenye mfumo wa disunity
We chawa kabisa
Na Yanga aliwanyima point ngapi
Hivyovikao kilatunapo kutana na yangatu,
Kisugu anazingua San anamambo yakishamba
Yani we jamaa nilkuwa nakuelewa sana lakini sasa hivi umekuwa msenge sana
Vikao vya nini nyie mbona kipindi Simba anamfunga yanga hatukuwah kusikia vikao,,sasa viwaambie huyo mangungu anataka kitakachojadiliwa hapo anakipeleka yanga, kama ni kikao cha faida kwa nini hata upande wa mwekezaji wasisishirikishwe
Mkutano wa bwana WAKO MANGUNGU MKUTANO WA NINI?