Mchome upo sahh,angalia mechi ya Simba vs Azam,Fei alicheza kama ana miaka 45
K
kristin.ford1 month ago
Ni matumizi mabaya ya pesa TU 😢,,
michael.campbell1 month ago
Sijikii vizur timu ya taifa letu kufungwa
L
luz_mireles1 month ago
Feisal ameshazeeka
G
graciela_morales1 month ago
Timu ya Taifa imecheza leo? Hakuna hamasa kabisa atujui kama leo kulikuwa na mechi
victoria.solano1 month ago
Misheri ni muzuri
jorge_razo1 month ago
Hii nilitegemea Taifa stars kufungwa! We timu inamchezi leo jana Kuna press ya jezi???. Uwanja wa Aman sio rafiki hii ni mara ya tatu mfululizo inafungwa kwa ninj wautumie tena
valentim_darocha1 month ago
Umeongea kweli mchome nawapata nikiwa Dubai
irene.humphries1 month ago
Wachezaji wameitwa toka Marekani na Ulaya Kamongo, Kachere, na wengine lakini wanakaa benchi. Gamond anatuchefua watanzania. Msuva hatumlaumu ndo mpira wake huo
B
brunamacedo6331 month ago
Felsal ashaisha
K
kamilly_sousa1 month ago
Kweliiii kabisa nimeumia sanaaaaa 😂😂😂
V
vincent_webb1 month ago
Na Kwanini hawakumuita Manula?
A
agathe_prévost1 month ago
Tupambanie jezi na Mikataba,Hilo tutaliweza,nimeumia sana
H
harryjames2111 month ago
Aibu sana
B
beth.cisneros1 month ago
Wanadhani Yanga na Simba na Azam ndio kikosi cha Tz😂. Msuva wa nini wapeni wengine
A
andrew_martin1 month ago
Shida waziri wenu wa michezo yule Jamaa mboga pia
R
ross.woodward1 month ago
Safi Mchome. Wakubali kukosolewa
gerolfechoing171 month ago
Sijui kwa nn manura akuitwa
M
marguerite_robin1 month ago
makonda naomba inyooshe iyo timu pia awo wachezaj km hawataki wote wafutwe wote timu ya taifa maana sio mchezaji ata mmoja apo tuelezane ukwel
Mchome upo sahh,angalia mechi ya Simba vs Azam,Fei alicheza kama ana miaka 45
Ni matumizi mabaya ya pesa TU 😢,,
Sijikii vizur timu ya taifa letu kufungwa
Feisal ameshazeeka
Timu ya Taifa imecheza leo? Hakuna hamasa kabisa atujui kama leo kulikuwa na mechi
Misheri ni muzuri
Hii nilitegemea Taifa stars kufungwa! We timu inamchezi leo jana Kuna press ya jezi???. Uwanja wa Aman sio rafiki hii ni mara ya tatu mfululizo inafungwa kwa ninj wautumie tena
Umeongea kweli mchome nawapata nikiwa Dubai
Wachezaji wameitwa toka Marekani na Ulaya Kamongo, Kachere, na wengine lakini wanakaa benchi. Gamond anatuchefua watanzania. Msuva hatumlaumu ndo mpira wake huo
Felsal ashaisha
Kweliiii kabisa nimeumia sanaaaaa 😂😂😂
Na Kwanini hawakumuita Manula?
Tupambanie jezi na Mikataba,Hilo tutaliweza,nimeumia sana
Aibu sana
Wanadhani Yanga na Simba na Azam ndio kikosi cha Tz😂. Msuva wa nini wapeni wengine
Shida waziri wenu wa michezo yule Jamaa mboga pia
Safi Mchome. Wakubali kukosolewa
Sijui kwa nn manura akuitwa
makonda naomba inyooshe iyo timu pia awo wachezaj km hawataki wote wafutwe wote timu ya taifa maana sio mchezaji ata mmoja apo tuelezane ukwel
Hatuna wachezaji babaaaaa, ukweli kusema