Harmonize atafika Mbinguni amechoka sana. Usikose kutazama #MMBAList kila Ijumaa saa 2:00 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo Ch160 — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ
ADVERTISEMENT
Tuacheni utani baba nono kapata utulivu hapa kwa aunty jaman ❤❤
Kajala kalewa hapo
Kajala kashapiga vitu hapo tungi😂😂
Hawaaa walichopeanaaa kajalaaa anaongeajeee kwan
Anaongeaje hivyo😂😂😂😂
Sijajua leo kajala anaongeaje yaani kama vile mtoto ambae hawezi kuongea vizuri
Kajala anampenda sana hamonaize
Kajala nikama Mimi mutu anakuumiza lakini unaendelea kumupenda
Jaman kajala unaongeaje😁ng'ata meno acha kulegeza ulimi dada ndo pouse au hahahahahahahaha
Hapo anatamani alie😢😢😢
Mmemu edit mdada wa watu ndo aomgeaje ivo. Mfyuuuuu
Sasa mbona anaongeya ivo
Kumbe mama kajala hua anaongea na ulimi😢😂 nice mama Paula 😘🤣💗👌
Ah Kajala nakupenda Sana ❤
Mama paula sikiliza moyowako unataka nini ❤❤❤
Kkajala nakupenda sana yani sana
Jamani aunt Ezekiel nikazuri uwiii
Mbona kinyonge sana
Acha amteme tu apite hivi kwa kweli puh
Kajala awa bubu mimi hoii😂😂😂😂