Uwoya hajataka kona kona, kaweka kila kitu wazi. Usikose kutazama #MMBAList kila Ijumaa saa 2:00 usiku ndani ya #MaishaMagicBongo Ch160 — Endelea kutazama DStv chaneli 160 Angalia tamthilia bora Tanzania kupitia DStv: https://www.dstv.com/maishamagicbongo/sw-za/home Pakua App ya DStv: https://bit.ly/36ZGjkz Facebook: https://www.facebook.com/MaishaMagicBongo Instagram: http://instagram.com/maishamagicbongo TikTok: https://www.tiktok.com/@maishamagic_bongo Twitter:https://twitter.com/MaishaMagicTZ
ADVERTISEMENT
Mama mchungaji umeongea bonge la point
Asante sana mtu wa Mungu. Huo ndio upendo na undugu wa kweli. Naamini hata kijana wangu Harmo limemuingia atalifanyia kazi. Natamani kukutana na nyie wote
Shida ni Harmonize lakini Rajabu wala hana tabu😂😂😂
Rajabu alivyotulia kama anaelewa vile 😂😂😂😂
Napenda rafiki wa kunichana
Piga duru kwa lrene Absolutely ❤❤
Nimekuelewa sanaaaa uwoya kama naww umeelewa kama mm gonga Tano 👊👊
Irine uwoya ameongea point sana umri unaenda jamani hawa wanaume kuna mda sio watu kabisaaa
Nimekupenda bure.
Liharmo ndiyo limimi sasa😂
Uwoya ❤ nakubali unasema ukweli
Kaongea ukweli kabisaa
hamo anamfany kajala kama hana kwendaaaa
Harmonize😅😅😅😂😂😂 "huyu anashida" 😅😅😅😂😂😂
Kweli kabisa
harmonize and his wife is best teacher
HARMONIZE KAMA MTU VILE ALIVYOTEGA SIKIO😂😂
Asante san Irene
Mungu akubariki dada yanguuuu
Mpende mtu anaekwmbia ukweli japo mchungu❤❤much love uwoya