Ndio maana mkataba wake mpya hatujui kama aliongezwa mshahara au la
L
leonard_bender3 weeks, 3 days ago
Vin wa sasa hafokei marefa 😅
gesine_schinke3 weeks, 1 day ago
Yaani ata wachezaji wenzake wangeshamjua kuwa sio vini halisia acheni kupotosha watu au hata demu wake koz wanalala pamoja
R
rafaél_gastélum3 weeks, 4 days ago
Huyu jamaa kuna kitu si bure 😂😂😢
M
marguerite_robin3 weeks, 3 days ago
Arsenal knew this 😎 that's why the decided not to sign the player .... Very clever team #Arsenal ....
steven.gonzalez3 weeks, 1 day ago
Mimi kuna mambo mawili najadili Moja ikiwa amefanya surgery..mbona imechukua haraka sana kupona yaan taarifa zilivokuja kuwa kafanya mabadiliko ya kidevu ni wiki tatu tu tangu atoke kuwakilisha taifa lake kwenye kombe la dunia?? Na je kama sio yeye na ni mtu mwingine je wadhamini wake walipata wapi taarifa kuwa jr hayupo na kwa haraka wakaweka kilaka?? Ili kulinda mikataba yake...hapo ndo napo jiuliza
micheal.turner3 weeks, 2 days ago
Illuminate ipo ndugu
kabir_khalsa3 weeks, 2 days ago
Nashindwa kuwaelewa
angela.patterson3 weeks, 1 day ago
Gem amecheza zaid ya 5 lakin ajawafokea marefa at gemu 1 na amecheza izo gemu ajawahi pat ata kadi ya njanoo wakat vini yule tulikua tunambetia kadi ya njano na anatoa iyo option ila uyu wa sas duuuh
michael.campbell3 weeks, 2 days ago
Mi Mwenyewe sio mshabiki sana wa mpira ila apo tumepigwa Maana myezi miwili sjui mi3 ya Kombe la Dunia haziwe kufanya mtu abadilike kias iko
ashleyjames9853 weeks, 3 days ago
Hatuna tena vini
J
james_west3 weeks, 2 days ago
Upuuzi huu alifanya surgery bana acheni maypumbafu yenyu
J
jonathan.hill3 weeks, 2 days ago
Mimi sijapenda alivyojibadilisha
S
stéphane.perrin3 weeks, 2 days ago
Ikefwe😅
dustin_olsen3 weeks, 2 days ago
The real vin is gone
judithdrift463 weeks, 3 days ago
Tunadanganywa tu vini ni yuleyule sema kaongeza kidevu tu ,watu wanatafuta trend
R
reynaldo_godínez3 weeks, 3 days ago
Vini wakisasa ni fala tu hamna lolote
luisquesada5243 weeks, 1 day ago
Gem amecheza zaid ya 5 lakin ajawafokea marefa at gemu 1 na amecheza izo gemu ajawahi pat ata kadi ya njanoo wakat vini yule tulikua tunambetia kadi ya njano na anatoa iyo option ila uyu wa sas duuuh
hata uchezaji wake tu umebadilika 😂🙌
Ndio maana mkataba wake mpya hatujui kama aliongezwa mshahara au la
Vin wa sasa hafokei marefa 😅
Yaani ata wachezaji wenzake wangeshamjua kuwa sio vini halisia acheni kupotosha watu au hata demu wake koz wanalala pamoja
Huyu jamaa kuna kitu si bure 😂😂😢
Arsenal knew this 😎 that's why the decided not to sign the player .... Very clever team #Arsenal ....
Mimi kuna mambo mawili najadili Moja ikiwa amefanya surgery..mbona imechukua haraka sana kupona yaan taarifa zilivokuja kuwa kafanya mabadiliko ya kidevu ni wiki tatu tu tangu atoke kuwakilisha taifa lake kwenye kombe la dunia?? Na je kama sio yeye na ni mtu mwingine je wadhamini wake walipata wapi taarifa kuwa jr hayupo na kwa haraka wakaweka kilaka?? Ili kulinda mikataba yake...hapo ndo napo jiuliza
Illuminate ipo ndugu
Nashindwa kuwaelewa
Gem amecheza zaid ya 5 lakin ajawafokea marefa at gemu 1 na amecheza izo gemu ajawahi pat ata kadi ya njanoo wakat vini yule tulikua tunambetia kadi ya njano na anatoa iyo option ila uyu wa sas duuuh
Mi Mwenyewe sio mshabiki sana wa mpira ila apo tumepigwa Maana myezi miwili sjui mi3 ya Kombe la Dunia haziwe kufanya mtu abadilike kias iko
Hatuna tena vini
Upuuzi huu alifanya surgery bana acheni maypumbafu yenyu
Mimi sijapenda alivyojibadilisha
Ikefwe😅
The real vin is gone
Tunadanganywa tu vini ni yuleyule sema kaongeza kidevu tu ,watu wanatafuta trend
Vini wakisasa ni fala tu hamna lolote
Gem amecheza zaid ya 5 lakin ajawafokea marefa at gemu 1 na amecheza izo gemu ajawahi pat ata kadi ya njanoo wakat vini yule tulikua tunambetia kadi ya njano na anatoa iyo option ila uyu wa sas duuuh
R.I.P VINICIOUS JR