Magufuli sio raisi yule nabii #chiefpengo #mzeedude #trendingreels #funny #shorts
ADVERTISEMENT
Comments 41
robertvaleon36:
Idea ya kurusha mawazo ya huyu mzee ulifanya cha maana sana…
More Like This
56:44
Full Episode: Pinoy Big Brother Celebrity Collab Edition 2.0 | OCTOBER 24, 2026
Entertainment
21.1k
100
1:37
Eeeii Legendary J A Adofo Honored at Ghana Legends Awards
Entertainment
977
0
23:41
NAKUJA EPISODE [ 71 ] FULL HD
Entertainment
4.3k
100
22:50
NAMANDA Ep20
Entertainment
3.2k
100
1:06
A Horrifying Parasite...
Entertainment
102.3k
100
0:48
Picking up my SIBLING from SCHOOL while playing EMBARRASING music😭✌️ #youtubeshorts #cringe #school
Entertainment
16.6k
100
0:16
Sorry i shouldn't laugh 😭😂. 🎥 by: lingyi0593 IG
Entertainment
255.4k
100
0:16
더미로 연습하다가 기술에 걸렸을 때
Entertainment
95.4k
100
You've reached the end
Idea ya kurusha mawazo ya huyu mzee ulifanya cha maana sana ndugu mwenye account.. Acha Dunia tupate madini ya wazee wetu wachache kama hawa.❤🥀🙏 Big up salute
bumgeni atoke baba levo wamuweke uyuu mzee
Wazee kama Hawa, ukiwa na stress utamtafuta mwenyewe!
Jamaa yangu unafanya vzr sana kuchukua madini kwa mzee huyu.Ukisikia Jungu Kuu halikosi Ukoko basi hili ndo Jungu lenyewe
Huwezi kukojoa bila kijamba Mwanaume kamili😅😅😅
Upepo bila mkojo duh, 😂😂😂
Mzee ana madini sana❤❤❤❤
We mzee mtata sana kojoa bila kujamba hahahaaaaaa
Dah we Babu salute 🫡
Ukiona masikin km huyu anamsifia kiongoz ujue kwl huyo kiongoz alikuwa kiongoz wa watu hakuwa muhuni
❤❤❤❤❤❤🎉🎉😊😊
Rufiji kajenga mkapa babu ?Sasa dini yao kila mtu nabii sijui wametabiriwa na kitabu gani?
😂😂 aah mzee wetu ametupa moja ndani😂, hadi ka sahau maji, upepo bila kukojoa
NAKUBALI MZEE WETU FROM TANZANIA 🇹🇿 NAKUBALI U SAY EVERYTHING IS TRUE MASHALLAH UR FRIEND CHINA 🇨🇳 BOY FROM LONDON UK 🇬🇧 😢😢😢😢😢😢 I AM PROUD OF PEOPLE OF TANZANIA 🇹🇿 ❤️ 💙 ♥️ 👏 💖 🇹🇿 UR FRIEND CHINA 🇨🇳 BOY FROM LONDON UK 🇬🇧 ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😅😅😅😅😅 uyu mzee chenga ujuwe
Ganja sio Maji bro aisee mzee dude
Mzee noma uyu😂
Magufuli 😢
🎉❤❤
Mungu anampokea kiumbe wake MAGUFULI kwa Sala za watu wake Duh ila dereva Hasan Issa..?khaa