Wapendwa watazamaji wetu wa Simulizi na Sauti (SnS), mwaka huu tumetajwa kuwania vipengele vitatu kwenye Samia Kalamu Awards. Tunaomba support yenu kwa kutupigia kura kupitia tovuti au kwa SMS. Unaweza kupiga kura mara moja kila baada ya saa 24. 1. SIMULIZI NA SAUTI (SNS) Kipengele: Chombo cha Habari cha Mtandaoni Kodi: 260261 Piga kura kupitia: https://samiaawards.tz/mshiriki/260261 Au tuma SMS yenye ujumbe: SKA 260261 kwenda 15200 2. FREDRICK KABOTA BUNDALA Kipengele: Fedha na Uchumi Kodi: 260126 Piga kura kupitia: https://samiaawards.tz/mshiriki/260126 Au tuma SMS yenye ujumbe: SKA 260126 kwenda 15200 3. ESCO DONALD MKANDAWILE Kipengele: Kazi na Ajira Kodi: 260106 Piga kura kupitia: https://samiaawards.tz/mshiriki/260106 Au tuma SMS yenye ujumbe: SKA 260106 kwenda 15200 Kila kura yenu ina maana kubwa sana kwetu na ni sehemu ya safari ya SnS kuendelea kufanya kazi bora zaidi. Tafadhali piga kura kila baada ya saa 24 na share ujumbe huu kwa ndugu, marafiki na wengine wanaopenda kazi za SnS. ASANTENI SANA KWA SUPPORT YENU. KURA YAKO NI NGUVU YETU.
ADVERTISEMENT
CR7 kanyooka sana
Uyo coach ajieshimu tutakuja kumpasuwa
Iyo ndo maana ya mchezaji mkubwa
GOAT
kaka kweny simuliz uko vizur brother sky
Cr7 ni mchezaji mzuri lkn nguvu zake zimeanza kupungua,,asifosi,,angestaafu tu kwa heshima ,,hata al nassry nilichukia siku wanagongwa 4-0 na Al Ain kwenye klabu yake,,yeye tatizo anajiona mkubwa kuliko timu nzima ,, ,, Mimi ni shabiki yake lkn kazingua kuacha timu kambini pumbavu zake
Siuuuuuuu
Ronaldo Kasalitiwa
Ronaldo kustaafu hataki, anataka kuwapa watu ubaya 🤣🤣
Cr7 king 👑
Tunaomba tff waingilie kati maramoja
Huyo bwana muda wake umefika alitakiwa astaafu muda sana maana amechoka mapema sana hasa kwa namba yake ya ushambuliaji tofauti na viungo angekua anajua kucheza mpira kwa style ya tofauti ya kuweza kumiliki mpira na kutoa pass ningemuunga mkono mpk leo kwan angeweza kucheza hata namba za viungo shida yeye ni mviziaji tu kawa na sasa anakanyaga mpira na kuanguka mwenyewe au mpira kubaki nyuma...mwisho amekua mbinafsi sana na hachezi kwaajili ya timu bali anacheza kwakuwa anataka kuweka namba zake yeye tu za kufika magoli 1000 na sio vinginevyo...sasa huo ni ubinafsi sana..mwenzie messi namba zinamtafuta mwenyewe bila kulazimisha na anajua mpira haswa
Makubaliano yaheshimiwe
Mnajua kabisa ku cr 7 ndio kila kitu katika mpira ndio mtu mwenye ushawish mkubwa kwakitu chochote huyu hata akija kunya mavi nyumbani kwako unakua bilionea sio hiki kimbilikimo cheni ukweli mnaujua sema mnajifariji u😅
CR7 anauponya mpira waulize man u wanajua ilo
Anajua hamna wanachoweza kumfanya 😅😅 , Suiiiiiiii
Yeye andike vibaruwa vyake sisi team Messi tuko tunamuaga kwa heshima kubwa kama mfalme wa soka
Duh kocha anajutia kumkera mchezaji mkubwa Duniani mwenye washabiki wengi
Uyu anaweza badili uraia afu awapige wareno
Kocha ndio msaliti wakati Ronaldo ndio katoa chaguo lake awe kocha wa taifa huyu kocha ndio mbaya na msaliti