YANGA SASA HIVI WANAIOGOPA SIMBA NDIO MAANA WAPO KIMYA
ADVERTISEMENT
Comments 18
cheyenne_brown:
Kwani mechi gani ilikuwa sio muhimu kwenu. Ndio maana mkifu…
More Like This
3:58
⚽ Aston Villa 2-1 Manchester City [HIGHLIGHTS] Premier League 26/27 ✅ | Match Simulation/Recreation
Sports
491
3
1:43
ARSENAL v EVERTON | Premier League highlights
Sports
461
20
1:06
Was he cheating with his ears... ?
Sports
0
0
2:45
Aston Villa v Manchester City | Highlights | Premier League 2026/27
Sports
824
0
8:51
RASMI ALLY KAMWE ATOA TAARIFA KUACHANA NA KOCHA MANQBA /TUTATANGAZA KOCHA MPYA HIVI KARIBUNI
Sports
78
10
26:26
GB 64 ACHEKELEA SARE YA YANGA, GAP POINT 5 KILELENI, KADI NYEKUNDU
Sports
295
0
0:32
Ranking The Best Football Moments 🥶🔥
Sports
11.0k
20
2:07
Bobb magic seals the win! 🙌 | Coventry 0-1 Fulham | Premier League 2026/27
Sports
974
0
You've reached the end
Kwani mechi gani ilikuwa sio muhimu kwenu. Ndio maana mkifungwa mnalia
Naihifadhi hii video😂😂😂
Haujielewi kwani hata mkiifunga yanga hiyo taree inamaana mtakuwa wazuri sana mara hizo tulizowafunga ni nyingi acha kuongea ujinga
Mdomo huo utakuponza
Tuseme INSHAA ALLAH.
Ndugu ndugu unaongea mno kila saa kila wakati
Swadakta 😅😅
Kwani siku nyingine mngombanaga
Mbooona,,, kigugumizi,,,,😅😅😅
Inshallah kuchimba dawa akukwepeki
You better watch yo back
Yanga bingwa😂
Yanga hawaelewi nini kitatokea. kesho Simba anawafunga goli nyingi sana. 4+
Tusubiri tarehe ifike
Kamdomo kamdomo
Simba ndio wanaogopa. Angalia juzi Kamwe kwenda kuangalia mpira wa wadogo zetu, watu kukuona wanaweweseka hivyo.
Kumbe mechi zote yanga anayocheza na simba sio muhimu ila ya muhim ni inayofata na pia kuongea hivyo ni kujiaminisha na kuishi kwa matumaini
Usijali zero maneno bdo cku 2 tu Linda mgongo wko